Na shida na dawa(Mundende)

Na shida na dawa(Mundende)

jraider

Member
Joined
Sep 15, 2018
Posts
5
Reaction score
3
Na tatizo LA kuwah wakat na Fanya tendo, he naweza pata dawa!? Kuna mtu aliniambia nitafute Mundende,mwenye kujua ntaipata WAP plz au dawa nyingine yenye matokeo msaada.
 
Ni pm nikuoneshe machaka ya mundende.
 
Na tatizo LA kuwah wakat na Fanya tendo, he naweza pata dawa!? Kuna mtu aliniambia nitafute Mundende,mwenye kujua ntaipata WAP plz au dawa nyingine yenye matokeo msaada.
Mkuu ushapat hii dawa ...?
 
HABARI NJEMA KWA WATU WANGU WA NGUVU NIPO MAKUMBUSHO DAR NIMEREJEA.NINAWALETEA
*Vumbi vumbi vumbiiii Vumbi la Congo* , kitu vumbi la congo wajanja hawajutii Hii ni Dawa ya Asili kutoka Congo ni Dawa ambayo itakufanya Udumu kwa mda mrefu sana kwenye Tendo la ndoa itakufanya udumu kwa zaidi ya dakika 30 ,,45 hadi saa moja ni ya kupaka tu na haina madhara yoyote BEI NI KITONGA ALFU KUMI TUU (10,000) matokeo ni mda mchache baada ya kupaka Tunapatikana MAKUMBUSHO DAR ES SALAAM.
WATU WA ARUSHA ,DODOMA,MWANZA,,KAHAMA na RUVUMA SONGEA NA MIKOA MENGINE msiwaze sana tunaweza watumia na Mikoa mingine na mahala pengine popote Tanzania.
+255 655 821 550
What's app/ ama nipigie kwa namba hiyo
Tatizo matapel wengi tangazo kama hilo nishaliona sehem nying wanabadil namba tu za cm .je ushawah nunua?wwe
 
Mzee bao la kwanza ni kawaida kuwahi kwa mwanaume yoyote ambaye yuko sawa, usijione kama unatatizo, anzia kuhesabu la pili endapo kama utakojoa ndani ya dk 2 hilo litakuwa tatizo, hapo unaweza kwenda kutafuta tiba sasa.
 
Haya matatizo ya nguvu za kiume mengi ni ya kisaikolojia tu ila kutojiamini na uwoga unaotokana na mambo mbalimbali.
Kuna mwana ni dereva wa magari ya mafuta anaenda sana Congo basi kuna mchizi wetu akawa anamsumbua sana amletee hayo mavumbi kisa hawezi kusimama kwa muda mrefu basi yule dereva akarudi bila dawa ili kuondoa lawama akatafuta tu unga sijui wa manini akampa kwenye kichupa huwezi amini jamaa alirudi kumshukuru mshikaji kua yuko ngangari kinoma nikaamini kua tatizo lilikua kwenye hisia zake tu.
 
Na tatizo LA kuwah wakat na Fanya tendo, he naweza pata dawa!? Kuna mtu aliniambia nitafute Mundende,mwenye kujua ntaipata WAP plz au dawa nyingine yenye matokeo msaada.

saga tikitimaji weka kwenye sufuria kamulia limao moja weka jikoni ichemke kidogo ipua acha ipoe isongeshe kwenye friji ikipoa gonga grasi asubuhi grasi mchana grasi jioni kwakuwa ni lishe matokeo ni siku sifuatazo/zinazofuata c kwa haraka unayo itaka wewe.
 
HABARI NJEMA KWA WATU WANGU WA NGUVU NIPO MAKUMBUSHO DAR NIMEREJEA.NINAWALETEA
*Vumbi vumbi vumbiiii Vumbi la Congo* , kitu vumbi la congo wajanja hawajutii Hii ni Dawa ya Asili kutoka Congo ni Dawa ambayo itakufanya Udumu kwa mda mrefu sana kwenye Tendo la ndoa itakufanya udumu kwa zaidi ya dakika 30 ,,45 hadi saa moja ni ya kupaka tu na haina madhara yoyote BEI NI KITONGA ALFU KUMI TUU (10,000) matokeo ni mda mchache baada ya kupaka Tunapatikana MAKUMBUSHO DAR ES SALAAM.
WATU WA ARUSHA ,DODOMA,MWANZA,,KAHAMA na RUVUMA SONGEA NA MIKOA MENGINE msiwaze sana tunaweza watumia na Mikoa mingine na mahala pengine popote Tanzania.
+255 655 821 550
What's app/ ama nipigie kwa namba hiyo
Wanawake wanaitesa hii dunia ya wadudi
 
Back
Top Bottom