Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,076
- 4,656
- Thread starter
-
- #21
Hata waislamu wanatekwa lakini wao wanaona kwa kuwa wengi wanaotekwa ni wakristo ni sawa tuyule wakwenu alikibao na mwenzake jana mlifanya nini kama bakwata au mlifyata mkia.
Utekaji we mbulukenge haukuumizi? Unaumizwa na kauli ya misikiti kuwa sunday schools?Usichojua ni kwamba serikali imeenda kuwanusuru wafuasi wa gwajima na gwajima mwenyewe dhidi ya kisasi cha waislamu.
Yule mshenzi anatutukana waislamu madhabahuni, nilishajitolea kwenda kumvyovyoga yeye, waumini na kanisa lake.
Aishukuru sana serikali, mshenzi yule.
kumbe tunasilimishwa kwa lazima na waja wa mnyaziTuweni wauslamu wote ndio nia yake
Tanganyika idai uhuru toka kwa makaburu ya ZanzibarTuweni wauslamu wote ndio nia yake
😂😂😂Umeongea kitu cha maana sana. Lini atatoa amri na siye Makanisa yetu Wakatoliki yafungwe 🤪🤪🤪
Maana siasa ni maisha na maisha ni watu. Kiongozi wa dini anaongoza watu kiimani na kimaisha, muingiliano ni mkubwa sana. Acha mvua ije tuone panapovuja.
Nishakutag nijibu plz
Sasa kwanini wasimfungie gwajima na sio kanisaKwani Gwajima hawezi kufungua kanisa jengine au amekatazwa pia
Mzanzibar anawateka na kuwaua watanganyika ni mda sasa Tanganyika idai uhuru wake toka kwa madikiteta makaburu wa ZanzibarItapendeza sana
Masheikh wanatekwa kwao wanaona poa mradi wakristo ndio wengiUtekaji we mbulukenge haukuumizi? Unaumizwa na kauli ya misikiti kuwa sunday schools?
Haiwezekani, wakatoliki tuna dunia yetu. Aonee tu hizo saccos .Hii serikali ya bi chaudele inajipambanua kutumia mabavu kujibu hoja.
Baada ya kitima kushambuliwa pengine inafikiria kuifungia taasisi kongwe kwa kujihusisha na sisasa, wakatolik tupewe taarifa mapema ili tuhamie kwa mwamposa kama mnavyotaka.
mzinifu mkuu wa kanisa hilo ambae anajifanyaga ni mdogo wake yesu aropoke tu kama gwajima. sijui anendeleaje kwanza baada ya kupigwa kwenye pombeHii serikali ya bi chaudele inajipambanua kutumia mabavu kujibu hoja.
Baada ya kitima kushambuliwa pengine inafikiria kuifungia taasisi kongwe kwa kujihusisha na sisasa, wakatolik tupewe taarifa mapema ili tuhamie kwa mwamposa kama mnavyotaka.
Me sijui nimeuliza tu kiongozi hilo swaliSasa kwanini wasimfungie gwajima na sio kanisa
Keyboard mongerUsichojua ni kwamba serikali imeenda kuwanusuru wafuasi wa gwajima na gwajima mwenyewe dhidi ya kisasi cha waislamu.
Yule mshenzi anatutukana waislamu madhabahuni, nilishajitolea kwenda kumvyovyoga yeye, waumini na kanisa lake.
Aishukuru sana serikali, mshenzi yule.
Muungano ufe kila mmoja akae kwake, watanganyika wapate uhuru toka kwa Kaburu mzanzibarHuu ulikuwa mda wa kuwatoa kwenye muungano wazanzibar yeye yuko busy kukomoa watanganyika, baadae waje waendelee na kilio chao cha kunyonywa na watanganyika
Na huyu mzanzibar akitoka hivyo vilio na madeko yao vitazidi mara mia, ajira za tanganyika zote wameshika wao sio biashara sio ardhi kila kona wanamegeana tuMuungano ufe kila mmoja akae kwake, watanganyika wapate uhuru toka kwa Kaburu mzanzibar
Usiniulize ujinga...Nimeshakujibu kwamba uislamu ni zaidi ya chochote kwetu waislamu. Ili uuchezee uislamu basi hakikisha kwanza waislamu umetuua wote nchi nzima.Utekaji we mbulukenge haukuumizi? Unaumizwa na kauli ya misikiti kuwa sunday schools?
Dili kubwa wizi mkubwa wa pesa za umma kisingizio wanatumia kudhoofisha wapinzani, mateso utekaji ni Dili kwani hulipwa pesa nyingi, Udikiteta wa sasa ni manufaa kwa ibirisi mashetani wa ccmNa huyu mzanzibar akitoka hivyo vilio na madeko yao vitazidi mara mia, ajira za tanganyika zote wameshika wao sio biashara sio ardhi kila kona wanamegeana tu
AMINAMzimu wa magufuli na laana ya waliotekwa kuuawa ipo juu sana, mda ni mrefu mungu atafanya yake na Dr mpango kuwa Rais wa mpito
Huwa napata amani sana ninapoona mtoto mzuri kama wewe unachambua vitu kwa akili.Umeongea kitu cha maana sana. Lini atatoa amri na siye Makanisa yetu Wakatoliki yafungwe 🤪🤪🤪
Maana siasa ni maisha na maisha ni watu. Kiongozi wa dini anaongoza watu kiimani na kimaisha, muingiliano ni mkubwa sana. Acha mvua ije tuone panapovuja.