Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
Na hili liingizwe kwanye hayo mengiKuna madai mengi sana.Na katekisimu isomwe kuanzia chekechea.
Mimi nimelipitisha bila hiyana.Ngoja tuone dokta Msukuma atawashawishi vipi akina Jesca na Vita Kawawa.Hili ombi binafsi kwangu kama mkatoliki
Hao kazi yao nikugongatu mezaMimi nimelipitisha bila hiyana.Ngoja tuone dokta Msukuma atawashawishi vipi akina Jesca na Vira Kawawa.
Doktaaa who? This dokta from kawe?Mimi nimelipitisha bila hiyana.Ngoja tuone dokta Msukuma atawashawishi vipi akina Jesca na Vira Kawawa.
sisi wakatoliki sio wadini ndio maana hatulalamiki ila tumekuja kuiomba serikali ya awamu ya sita utuwezeshe kujua kilatini tusome na sisi biblia ya kale iliyo andikwa kilatiniUdini utazidi kutesa watu.
Wapo wanasema wake wawili ni dhambi ila wanafanya uzinzi
Wapo wanaosema nguruwe hafai kuliwa bali pombe wanalewa
Udini pasipo Imani nimzigo mkubwa wa mateso
Wakatoliki na sisi tuanze kujiwaya waya na kujidai kwa kujua lugha ambayo itatusaidia kujua biblia ya kalekwa sisi wakatoliki tunaitaka serikali ya dr. Samia, aingize kilatini katika mitaala yetu.
Japo najua kiarabu kitafutwa siku raisi mwingine akiapishwa.
Mna haki ya kufanya hivyo ...Andaeni utaratibu mfikishe ombi lenu .Wakatoliki na sisi tuanze kujiwaya waya na kujidai kwa kujua lugha ambayo itatusaidia kujua biblia ya kale
Mama afanye hima na sisi wakatoliki tuungane na lucas mwashambwa tububujikwe na machozi ya furaha.Serikali ya Mama Kizimkazi ni Sikivu nategemea watalifanyia kazi hilo
wasaidizi wake wamo humu hasa lucas mwashambwa nina uhakika atakifikishaMna haki ya kufanya hivyo ...Andaeni utaratibu mfikishe ombi lenu .
Tanzania ni nchi ya wote.