Na sisi Wasafirishaji wa abiria na Mizigo tutatangaza nauli mpya

Na sisi Wasafirishaji wa abiria na Mizigo tutatangaza nauli mpya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kwanza naomba nikiri kwamba mimi ni miongoni mwa wasafirishaji wa mizigo na Abiria ndani na nje ya nchi .

Nimetumiwa Private message kwamba kutakuwa na kikao Alhamisi hii cha kujadili ongezeko la Nauli kutokana na kupanda kwa gharama za mafuta .

Nitawajulisha kitakachojili .

Usiku mwema .
 
Ilishatangazwa kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake. Kila la kheri kwenu mkuu[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom