Resha hemed
Member
- Mar 20, 2022
- 8
- 6
Habar Zenu na tafuta marafiki wa ku share nao mawazo mbalimbali na kuspend nao[emoji3064][emoji17] wawe wanawake au wakiume safiii .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo vp,karibu mpendwa
you got one here, karibu mkuu uwe wa kiume au wa kike sawa tu
Kwenye huo urafiki kuombana ela ipo ??
njoo private box Kwa kuwa wewe ni ke[emoji23][emoji23][emoji23]weeeeh sas unashindwaje kumsaidia rafiki yako jmn[emoji3064]
njoo private box Kwa kuwa wewe ni ke
Ungekuwa unatafuta mume ningekuambia njoo PM tuyajenge
Tangaza nia njoo PM[emoji38]kumbeee hata waumeee mnapatikn hukuuuu[emoji15] mkuuu[emoji2306]