Na uchawa wake Sharif Majini walimuua. Machawa hilo ni somo mtapotea na majini yenu

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Anawasema maaskofu wenyewe wapo yeye yuko wapi na uchawa wake.

Sasa yuko huko motoni na majini yake. Amani yetu imekufikisha wapi wakina Samia ndiyo wamekuondoa wa kwanza na uchawa wako.

Pia soma


Machawa wote msije kufikira wanawajali zaidi ya kuwatumia. Pigania haki kwa wote Mungu atakuwa na wewe

View: https://youtu.be/iSCMeGho4Uw?si=LqajEEu7pBSp6Thv

​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…