Anawasema maaskofu wenyewe wapo yeye yuko wapi na uchawa wake.
Sasa yuko huko motoni na majini yake. Amani yetu imekufikisha wapi wakina Samia ndiyo wamekuondoa wa kwanza na uchawa wako.
Pia soma
Sheikh Mwaipopo: Sheikh Sharif Majini alipigwa risasi ya kifua na tumbo BAHATI MBAYA akiwa...
Hii dunia ina wanafiki wengi, Huyu Sheikh Mwaipopo mchumia tumbo kama wengine, hivi mtu unawezaje kupigwa risasi mbili bahati mbaya, kwamba asisema amedhulumiwa uhai makusudi na mamlaka, naye atauawa?
Huyu na wanafiki wenzake wa BAKWATA ndo wamekuja na tamko la kijinga kuhusu uchaguzi.
Soma >...
Video ni Sheikh Sharif Majini siku chache kabla ya Uchaguzi, Majini anamtaka Amiri Jeshi Mkuu azime mtandao siku tano kabla ya uchaguzi.
Badala ya kuhubiri HAKI, alihubiri AMANI.
Ajabu Sheikh Majini alifariki dunia alifariki tarehe 29 October kwa kupigwa risasi, siku ya uchaguzi Mkuu. Je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.