PostGE2025 Video: Sheikh Sharif 'Majini' akimshauri rais Samia kuzima mitandao siku tano kabla ya uchaguzi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Video ni Sheikh Sharif Majini siku chache kabla ya Uchaguzi, Majini anamtaka Amiri Jeshi Mkuu azime mtandao siku tano kabla ya uchaguzi.

Badala ya kuhubiri HAKI, alihubiri AMANI.

Ajabu Sheikh Majini alifariki dunia alifariki tarehe 29 October kwa kupigwa risasi, siku ya uchaguzi Mkuu. Je Sheikh Majini alikuwa ni mwananchi mvamizi kutoka nchi jirani ndiyo maana alipigwa risasi? Huenda akawa anatokea nchi ya jirani ya Kenya. Mungu atupe hekima ya kuhubiri HAKI zaidi badala ya kuhubiri AMANI.
 
Kweli kesho yetu hatuijui, tuishi kwa kutenda haki,
Hapa ungemwambia kuwa atapigwa risasi kama jambazi na hao anaowatetea asingekubali,

Lakini ndio hivyo, amewaacha wake zake wajane,
 
Video ni Sheikh Sharif Majini siku chache kabla ya Uchaguzi, Majini anamtaka Amiri Jeshi Mkuu azime mtandao siku tano kabla ya uchaguzi.

Badala ya kuhubiri HAKI, alihubiri AMANI.

Ajabu Sheikh Majini alifariki dunia alifariki tarehe 29 October kwa kupigwa risasi, siku ya uchaguzi Mkuu. Je Sheikh Majini alikuwa ni mwananchi mvamizi kutoka nchi jirani ndiyo maana alipigwa risasi? Huenda akawa anatokea nchi ya jirani ya Kenya. Mungu atupe hekima ya kuhubiri HAKI zaidi badala ya kuhubiri AMANI.
Mama'e zake ndiyo maana wamempasua kumbe ana upuuzi mwingi kiasi hiki.
 
Video ni Sheikh Sharif Majini siku chache kabla ya Uchaguzi, Majini anamtaka Amiri Jeshi Mkuu azime mtandao siku tano kabla ya uchaguzi.

Badala ya kuhubiri HAKI, alihubiri AMANI.

Ajabu Sheikh Majini alifariki dunia alifariki tarehe 29 October kwa kupigwa risasi, siku ya uchaguzi Mkuu. Je Sheikh Majini alikuwa ni mwananchi mvamizi kutoka nchi jirani ndiyo maana alipigwa risasi? Huenda akawa anatokea nchi ya jirani ya Kenya. Mungu atupe hekima ya kuhubiri HAKI zaidi badala ya kuhubiri AMANI.
Yuko sooo animated. Wale mabikra 72 wanayo kazi huko aliko. Good riddance! 🐖🐖🐖
 
Video ni Sheikh Sharif Majini siku chache kabla ya Uchaguzi, Majini anamtaka Amiri Jeshi Mkuu azime mtandao siku tano kabla ya uchaguzi.

Badala ya kuhubiri HAKI, alihubiri AMANI.

Ajabu Sheikh Majini alifariki dunia alifariki tarehe 29 October kwa kupigwa risasi, siku ya uchaguzi Mkuu. Je Sheikh Majini alikuwa ni mwananchi mvamizi kutoka nchi jirani ndiyo maana alipigwa risasi? Huenda akawa anatokea nchi ya jirani ya Kenya. Mungu atupe hekima ya kuhubiri HAKI zaidi badala ya kuhubiri AMANI.
Ikiwemo Tiktokuu, facebukuu, youtubuu
 
1762597062395.png

Back
Top Bottom