NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
Masheikh ni wanafiki sana.....Mgogoro ni kuhusu tume ya uchaguzi ambayo sio huru,wao kila siku wana hubiri amani lakini hawataki kuzungumzia haki
Sasa hivi kishabarikiwa na wanawali 72 mabikra mwenzenuHuko akhera kama kuna access ya Internet nadhani akiiangalia hii clip atakua anachoka kama baba yenu Clemence Mwandambo
Mpuuzi huyu Bora amekufaVideo ni Sheikh Sharif Majini siku chache kabla ya Uchaguzi, Majini anamtaka Amiri Jeshi Mkuu azime mtandao siku tano kabla ya uchaguzi.
Badala ya kuhubiri HAKI, alihubiri AMANI.
Ajabu Sheikh Majini alifariki dunia alifariki tarehe 29 October kwa kupigwa risasi, siku ya uchaguzi Mkuu. Je Sheikh Majini alikuwa ni mwananchi mvamizi kutoka nchi jirani ndiyo maana alipigwa risasi? Huenda akawa anatokea nchi ya jirani ya Kenya. Mungu atupe hekima ya kuhubiri HAKI zaidi badala ya kuhubiri AMANI.
Good riddance to bad rubbish.Video ni Sheikh Sharif Majini siku chache kabla ya Uchaguzi, Majini anamtaka Amiri Jeshi Mkuu azime mtandao siku tano kabla ya uchaguzi.
Badala ya kuhubiri HAKI, alihubiri AMANI.
Ajabu Sheikh Majini alifariki dunia alifariki tarehe 29 October kwa kupigwa risasi, siku ya uchaguzi Mkuu. Je Sheikh Majini alikuwa ni mwananchi mvamizi kutoka nchi jirani ndiyo maana alipigwa risasi? Huenda akawa anatokea nchi ya jirani ya Kenya. Mungu atupe hekima ya kuhubiri HAKI zaidi badala ya kuhubiri AMANI.
Unaweza kututhibitishia hilo?Nasikia alipata mshituko wa moyo siyo risasi.
Kanyamazishwa yeye milele🤣Video ni Sheikh Sharif Majini siku chache kabla ya Uchaguzi, Majini anamtaka Amiri Jeshi Mkuu azime mtandao siku tano kabla ya uchaguzi.
Badala ya kuhubiri HAKI, alihubiri AMANI.
Ajabu Sheikh Majini alifariki dunia alifariki tarehe 29 October kwa kupigwa risasi, siku ya uchaguzi Mkuu. Je Sheikh Majini alikuwa ni mwananchi mvamizi kutoka nchi jirani ndiyo maana alipigwa risasi? Huenda akawa anatokea nchi ya jirani ya Kenya. Mungu atupe hekima ya kuhubiri HAKI zaidi badala ya kuhubiri AMANI.
Video ni Sheikh Sharif Majini siku chache kabla ya Uchaguzi, Majini anamtaka Amiri Jeshi Mkuu azime mtandao siku tano kabla ya uchaguzi.
Badala ya kuhubiri HAKI, alihubiri AMANI.
Ajabu Sheikh Majini alifariki dunia alifariki tarehe 29 October kwa kupigwa risasi, siku ya uchaguzi Mkuu. Je Sheikh Majini alikuwa ni mwananchi mvamizi kutoka nchi jirani ndiyo maana alipigwa risasi? Huenda akawa anatokea nchi ya jirani ya Kenya. Mungu atupe hekima ya kuhubiri HAKI zaidi badala ya kuhubiri AMANI.
Huyu Sheikh, jina lenyewe ni utata mtupu, Sheikh Majini, mapepo, masehtani.Video ni Sheikh Sharif Majini siku chache kabla ya Uchaguzi, Majini anamtaka Amiri Jeshi Mkuu azime mtandao siku tano kabla ya uchaguzi.
Badala ya kuhubiri HAKI, alihubiri AMANI.
Ajabu Sheikh Majini alifariki dunia alifariki tarehe 29 October kwa kupigwa risasi, siku ya uchaguzi Mkuu. Je Sheikh Majini alikuwa ni mwananchi mvamizi kutoka nchi jirani ndiyo maana alipigwa risasi? Huenda akawa anatokea nchi ya jirani ya Kenya. Mungu atupe hekima ya kuhubiri HAKI zaidi badala ya kuhubiri AMANI.
Safi sana aliyemlenga aje nimpe buku 3 akanywe supuVideo ni Sheikh Sharif Majini siku chache kabla ya Uchaguzi, Majini anamtaka Amiri Jeshi Mkuu azime mtandao siku tano kabla ya uchaguzi.
Badala ya kuhubiri HAKI, alihubiri AMANI.
Ajabu Sheikh Majini alifariki dunia alifariki tarehe 29 October kwa kupigwa risasi, siku ya uchaguzi Mkuu. Je Sheikh Majini alikuwa ni mwananchi mvamizi kutoka nchi jirani ndiyo maana alipigwa risasi? Huenda akawa anatokea nchi ya jirani ya Kenya. Mungu atupe hekima ya kuhubiri HAKI zaidi badala ya kuhubiri AMANI.
mfano halisi wa Mungu hadhihakiwi!Video ni Sheikh Sharif Majini siku chache kabla ya Uchaguzi, Majini anamtaka Amiri Jeshi Mkuu azime mtandao siku tano kabla ya uchaguzi.
Badala ya kuhubiri HAKI, alihubiri AMANI.
Ajabu Sheikh Majini alifariki dunia alifariki tarehe 29 October kwa kupigwa risasi, siku ya uchaguzi Mkuu. Je Sheikh Majini alikuwa ni mwananchi mvamizi kutoka nchi jirani ndiyo maana alipigwa risasi? Huenda akawa anatokea nchi ya jirani ya Kenya. Mungu atupe hekima ya kuhubiri HAKI zaidi badala ya kuhubiri AMANI.
Kila siku tunawaambia shetani hana ushirika wala urafiki, hao aliowaamini ndio wamemtanguliza akhera
Malkia wa ......hakuna kiongozi mkuu mwanamke katika vitabu vyenu
Na yeye kafa kama kuku. Maisha kitendawili.Namnukuu, "....Bendera fuata upepo ndio hufa kama kuku....."
Kwa hakika Mungu hadhihakiwi!