mmmh! sikukaa na ww kwa kupenda bali gari la mbagala nililokua nyuma yetu lilikua limejaa nikaamua kuwahi hili la mbele!!Kunakaukweli hata mimi nimefanya ivo leo,nilitangulia kwenye daladala nikawa peke yangu kwenye siti,akajamdada akakaa na mimi,aliacha sit zingine