Na wengine tunaadhibiwa lini na Serikali ipi / zipi duniani?

Na wengine tunaadhibiwa lini na Serikali ipi / zipi duniani?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Iran, Mohammad Kazem Movahhed Azad, ameagiza watu wote wanaomtukana kwenye mitandao ya kijamii, aliyekuwa Rais wa nchi nchi hiyo Ebrahim Raisi aliyefariki katika ajali ya helikopta, wachukuliwe hatua kali.
.
Azad ametoa wito huo baada ya baadhi ya watu kuanza kuchapisha jumbe kupitia mitandao ya kijamii wakieleza furaha yao juu ya kifo cha Rais Ebrahim Raisi huku wengine wakisisitiza kuwa alihusika katika mauaji ya maelfu ya wafungwa wa kisiasa, miaka ya 1980 pamoja na kukandamiza kwa nguvu maandamano ya kuipinga Serikali

Chanzo: itvtz

Tumeanza lini kuchaguliana Hisia zetu duniani? Yaani NIHUZUNIKE kweli na ADUI namba Moja wa Taifa Teule letu la Israeli?
 
Back
Top Bottom