Na wenye dv 32-33 wamefaulu na wanapata vyeti.TANZANIA YA WASOMI

Na wenye dv 32-33 wamefaulu na wanapata vyeti.TANZANIA YA WASOMI

Nokia3D

Member
Joined
Feb 2, 2013
Posts
74
Reaction score
1
nashangazwa tena sana kwa mfumo wa elimu tanzania kuwatunuku wanafunzi wenye alama 32_33 vyetu na wanaandikiwa "PASSED".
unadhani kwa maisha ya sasa wataenda vyuo gani hapa tanzania kama si VETA?? Na wenye 34_35 wadai vyeti kama watahini.
Tunakoeleke miaka 2 mbele "UJAMBAZI,UKAHABA,MALAYA.wizi nk"vikizidi msiangaike angalia wanaopata ZERO wanafanya kaz gan??
 
Back
Top Bottom