DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kwakuwa mnalalamika sana,
Basi na nyie njooni Dar es Salaam ili tuone Kama mtakuwa mnatuma hela Nyumbani.
Basi na nyie njooni Dar es Salaam ili tuone Kama mtakuwa mnatuma hela Nyumbani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Seriously unafananisha NY na Dar? Au ulitaka tuu u comment?Watu wapo New york wanatuma hela sembuse we wa mbagala rangi3.
NY na Dsm is the same?Watu wapo New york wanatuma hela sembuse we wa mbagala rangi3.
New York ipi hiyo, mbona sisi tuna ndugu zetu wapo huko na hawatumi chochote?Watu wapo New york wanatuma hela sembuse we wa mbagala rangi3.
Elewa nilichoandika sio unakurupuka neno "sembuse" kaangalie lina maana gani ? na jinsi linatumika then njoo tena.Seriously unafananisha NY na Dar? Au ulitaka tuu u comment?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]relaaaax sasa mzee hatulipwi hapaa..Elewa nilichaondoka sio unakurupuka neno "sembuse" kaangalie lina maana gani ? na jinsi linatumika then njoo tena.
UMEMALIZA, MODS FUNGA UZI.Kutuma hela home ni moyo wa mtu nina marafiki wawili wanajiweza vizuri tu ila mmoja wao mama yake alishanitafuta na kutaka kujua nn kinaendelea mwanae hakumbuki nyumbani na cha ajabu mwamba sio mtu wa mademu wala pombe ila anabet sana na anapiga mishindo ya maana yeye kuweka 100k au 200k kawaida analiwa au ashindue mshiko mpka 10m ila home hapakumbuki na akipakumbuka katuma 100k.
Kwahyo walioko mikoani waje wapambanie kombe wakipata ni juu yao kutuma au kutotuma
hapo kwenye " Elewa nilichaondoka" ......napo tuelewesheElewa nilichaondoka sio unakurupuka neno "sembuse" kaangalie lina maana gani ? na jinsi linatumika then njoo tena.
Yaan acha tyuuh kwa kweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilipokua mdogo nilidhani wanaoishi Dar wanamahela, kumbe kunawanaoshindwa hata kumudu milo mitatu vizuri..ni mwendo wa kupiga pasi ndefu [emoji12][emoji12]
typing error nilichoandikahapo kwenye " Elewa nilichaondoka" ......napo tueleweshe
Sielewi ulichaondika unazunguka sana😅😅..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]relaaaax sasa mzee hatulipwi hapaa..
Bila hata kuangalia popote Nijuavyo sembuse inatumika katika mazingira ya kuonesha kuwezekana/kutowezekana kwa jambo/kitu kikubwa/kidogo kwa kulinganisha na kuwezekana/kutowezekana na kingine kikubwa/kidogo, na namna maana nyingne yoyote inayoendana na hiyo..
Badala wake unaweza weka,
.....ilihali....., .....ndio iwe.... n.k
mfano..
"Watu wapo New york wanatuma hela ilihali/ndio iwe we wa mbagala rangi3".
Yaani
Watu waliopo NY waweze kutuma hela wewe wa mbagala ndio usiweze..?..
Sasa hapa ni yupi tunaamini anapaswa kua wa kwanza?
Naomba nikuulize, NY na DSM(mbagala) wapi pana unafuu wa maisha?
Ni wapi tunaimani kuna watu wenye unafuu wa maisha?
Yaani kwa kauli yako sio tuu kama umeifananisha Dar na NY ila umeiweka NY chini ya Dar,
Ungeandika "Watu wapo Mbagala rangi3 wanatuma hela sembuse we wa mbagala New York"?,
Sasa kwa kua mada inazungumzia Dar, basi LABDA ingekua sehemu nyingne iliyo chini ya dar.
Labda unisaidie maana ya Sembuse nisiyoijua nikuelewe mzee baba.