Existentialist
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 554
- 377
Ni vema ungemtaja kabisa.
tangu lini mtu mwenye asili ya kisomali akafanya biashara inayoeleweka?umeona wapi? walishalaaniwa hao...nyie ndo mnamshangilia....haha...hiyo ni moja tu..bado nyingi mno...msiwasahau na waarabu..hao nao biashara haramu videdea..:angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry:
Sijategemea mtu mwenye wadhifa mkubwa kama wewe tena katibu wa chama kikubwa kujihusisha na ujangiri wa wanyama pori.......
Plzzzzzz wazee kama mnataka kutoka na kustaafu msituaribie nchi....
Ni imani yangu baadhi ya wanaJF mnaweza kuwa mmeshasikia au taarifa mnazo kuhusu huyu katibu mkuu wa chama kikubwa hapa nchini kufanya uhahini mkubwa kiasi hiki.....Unafanya animal poaching acha nasema acha la sivyo tutakutoa hadharan machafu yote unayofanya.......
Hilo jamaa ni lijizi balaa, liliiba hadi mashine za kufulia nguo za wagonjwa..
:angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry: