Bwana mdogoNilijua hii 2013 nikiwa kidato cha kwanza
Tunapiga tiki matacall ya wanaccm woteOctober tunaenda na Prof Samia kiongozi wa kasi na ubunifu. [emoji1621][emoji1621]
Miradi mizito, Mafanikio ni kila kona: diplomasia, uchumi, kilimo, afya, na uwekezaji
huku sauti ya Tanzania ikisikika dunia nzima.
Tuna kila sababu za kumchagua Dkt. Samia Suluhu Hassan profesa wa siasa na uongozi
Oktoba ni mitano tena bila kupinga!
#KaziNaUtu
#TunasongaMbele
Asante sana kwa kunijuzaWatu Wengi Wanafatilia Mpira na Kuijua Club Ya As Monaco ambayo Hivi Karibuni Imemsajili Ansu Fati Na Kiungo Paul Labile Pogba.
Lakini Hawajui Kuwa Monaco π²π¨ ni Nchi ambayo inaongozwa Kifalme , Mji Mkuu Wa Monaco ni Monte Carlo , Ina matajiri Wengi , Huku watu wanaponda Starehe za Hali ya Juu , Hawalipi Kodi β¦..Ila Kutokana na Udogo wa Nchi Club Ya Mpira Ya As Monaco Iliamua Kushiriki Ligi Kuu Ya Ufaransa. ( France π«π·)
Duh!...Watu Wengi Wanafatilia Mpira na Kuijua Club Ya As Monaco ambayo Hivi Karibuni Imemsajili Ansu Fati Na Kiungo Paul Labile Pogba.
Lakini Hawajui Kuwa Monaco π²π¨ ni Nchi ambayo inaongozwa Kifalme , Mji Mkuu Wa Monaco ni Monte Carlo , Ina matajiri Wengi , Huku watu wanaponda Starehe za Hali ya Juu , Hawalipi Kodi β¦..Ila Kutokana na Udogo wa Nchi Club Ya Mpira Ya As Monaco Iliamua Kushiriki Ligi Kuu Ya Ufaransa. ( France π«π·)
Hivi comrade yupo wapi!!?October tunaenda na Prof Samia kiongozi wa kasi na ubunifu. [emoji1621][emoji1621]
Miradi mizito, Mafanikio ni kila kona: diplomasia, uchumi, kilimo, afya, na uwekezaji
huku sauti ya Tanzania ikisikika dunia nzima.
Tuna kila sababu za kumchagua Dkt. Samia Suluhu Hassan profesa wa siasa na uongozi
Oktoba ni mitano tena bila kupinga!
#KaziNaUtu
#TunasongaMbele
Ngoja nikuweke haraka kwenye ignore list yangu kabla sijasahau.October tunaenda na Prof Samia kiongozi wa kasi na ubunifu. [emoji1621][emoji1621]