Naacha chuo kwa muda, naenda Sumbawanga kujifunza uganga

Naacha chuo kwa muda, naenda Sumbawanga kujifunza uganga

KILA la kheri una kifua lakini, maana uganga ni ujasiliamali kama mwingine changamoto hazikosekani
 
Unasemaje wewe???
Aisee ntakutumia kibom cha kuharisha soon.
Hata kama upo ofisini.

Wewe Uganga huuwezi,, utakuja liwa kiboga huko....

Unaonekana una Jazba sana,,, sasa kama huwezi kutuliza mashono bora uachane na hizo habari..

Uza juice ya Miwa utatoboa
 
Habari JF,

Baaada ya maisha ya chuo kuwa magumu hapa Dar es Salaam, sasa nimeamua kupostpone masomo mpaka second semester Next Year, pia nimepostpone pesa HESLB mpaka Next Year.

Ajira hakuna, so chuo ntamalizia mwakani, Ila kwa sasa naenda kujifunza uganga short course miezi 6.

Babu yangu alikuwa anapigana na mama ili niwe mganga ila nimeamua kwenda kujifundisha ili nianze safari ya kujiajiri.

Ila nataka kuwa mganga wa kimataifa mana mpaka sasa nina certificate ya kula viumbe mbalimbali wakiwa hai kama.

Konokono
Jongoo
Kinyonga
Paka na kenge

Nataka kuwa mchawi mkubwa na mganga mwenye pesa.

Ntaleta mrejesho.
ukifanikiwa loga mbususu zote za jf
 
Back
Top Bottom