Naacha chuo kwa muda, naenda Sumbawanga kujifunza uganga

Ila nataka kuwa mganga wa kimataifa mana mpaka sasa nina certificate ya kula viumbe mbalimbali wakiwa hai kama.

Konokono
Jongoo
Kinyonga
Paka na kenge
🤣🤣🤣 kwa hiyo kwa kutafuna hivi viumbe unaqualify kuwa kwenye level za mtaa kata au mkoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…