Naacha kazi ya kuajiriwa, naomba ushauri

Lipo Tanga, lambo nilichimba kwa kutumia dozer. Lile catepillar lenye kijiko mbele. Nilitumia 8m kasoro. Ukubwa wake ni miguu 60-40.
shukrani mkuu, me nataka kulichimba shambani kwangu chalinze maanake jamaa wa ku-dril visima wanataka pesa ndefu mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…