24th DECEMBER
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 401
- 167
shukrani mkuu, me nataka kulichimba shambani kwangu chalinze maanake jamaa wa ku-dril visima wanataka pesa ndefu mnoLipo Tanga, lambo nilichimba kwa kutumia dozer. Lile catepillar lenye kijiko mbele. Nilitumia 8m kasoro. Ukubwa wake ni miguu 60-40.