Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Nimeona iwe hivyo ... Nimejipima miaka 21 ya kupiga mneli na miaka 18 ya ugimbi mara zote naharibu nikiwa ugimbi ... Nabaki na mneli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubarikiwe sana mwanachama mwenzanguNimeona iwe hivyo ... Nimejipima miaka 21 ya kupiga mneli na miaka 18 ya ugimbi mara zote naharibu nikiwa ugimbi ... Nabaki na mneli
Ndio nime✂✂ Pombe bangi siwezi acha ...Punguza utahalibikiwa
bora niache ugimbi sio mamjombaNiliacha mpepe nikabaki na ugimbi.
Sina mpango wa kuacha ugimbi kweny haya maisha ya ubatili uwa unanipa mzuka sana.
Maisha ni machaguo mkuu.bora niache ugimbi sio mamjomba
Matumizi ya hivi vitu matokeo yake huwa yanategemea na kiwango cha busara ulichonacho(kichwa).Nimeona iwe hivyo ... Nimejipima miaka 21 ya kupiga mneli na miaka 18 ya ugimbi mara zote naharibu nikiwa ugimbi ... Nabaki na mneli
DaaahMatumizi ya hivi vitu matokeo yake huwa yanategemea na kiwango cha busara ulichonacho(kichwa).
Ila kati ya ugimbi(wanzuki) na bangi... bora ugimbi maana ugimbi unavirutubisho+maji+ATP vinaweza kujenga mwili, ila bangi hamna kitu pale ni moshi(CO2) tu na stimulant zinazoharibu afya ya ubongo.
Kwa uzoefu wako umeona bangi ina vibe zaidi 👍🏾. Kupanga nikuchagua.
Hivi vitu madhara yake ni chronic... kidogo kidogo huwezi kushtukia baada ya miongo 2-3 > utakutana na shida ukichunguza ni hivi vitu. Anyway kufa tutakufa tu 😂.