Naachana na Hotel rasmi, sasa ni mwendo wa lodge

Naachana na Hotel rasmi, sasa ni mwendo wa lodge

Miye nimeipenda tu hapa:
Kumbe inapunguza matumizi yasiyo ya lazima,Asante mkuu Kwa hii shule:

" kwenye mitaa iliojificha kidogo, wale wasio na usafiri, unatembea kama unachati ghafla umepotea kumbe ndo ushazama ndani tena
emoji13.png


Hakunaga restaurant wala shangazi yake pub. Ukimaliza kula mzigo kila mtu anarudi alipotok
emoji3.png
mambo ya tukae tupate burudani hamna hapoo."
Mwalimu na usafiri wp na wp
 
Back
Top Bottom