Miye nimeipenda tu hapa:
Kumbe inapunguza matumizi yasiyo ya lazima,Asante mkuu Kwa hii shule:
" kwenye mitaa iliojificha kidogo, wale wasio na usafiri, unatembea kama unachati ghafla umepotea kumbe ndo ushazama ndani tena
Hakunaga restaurant wala shangazi yake pub. Ukimaliza kula mzigo kila mtu anarudi alipotok
mambo ya tukae tupate burudani hamna hapoo."