Naachia chumba changu maeneo ya Ukonga na kuuza kila kilichopo ndani

Wakuperuzi

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2023
Posts
2,348
Reaction score
5,841
Najua tupo humu tunaohitaji kuanza maisha so kwa yeyote anaehitaji kuanza maisha anicheki chapu nna siku mbili leo na kesho kufanya haya maamuzi nataka kubadilisha mkoa wa kwenda kuishi.

Chumba changu kimebakisha mwezi mmoja wa kodi location ni Ukonga na maeneo ni tulivu kabisa na kipo barabarani ndani ya geti hakuna sifa ya udokozi.

Nauza kila kilichopo ndani.

Karibuni
 
Aisee!!! Mkuu hii umeona ndo namna bora ya kutangaza biashara yako!? Kwanini usipandishe picha na kuweka bei ya kila kilichopo!?
 
Picha ya hivyo vitu tuje kuchagua
 
Kapicha mzeee alafu jumla unataka kiasi gani na mie nipate gheto mjini huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…