Naachia chumba changu maeneo ya Ukonga na kuuza kila kilichopo ndani

Naachia chumba changu maeneo ya Ukonga na kuuza kila kilichopo ndani

Kama katika vitu vyako una dumbbells au weights nitajie uzito na bei
 
Kwa hiyo kama nina chumba na vitu, ninapaswa kurithi vitu vya jamaa na chumba?
Lazima?
Mkuu nadhani anafanya kama ambavyo baadhi ya jamaa wenye maduka hufanya.

Mtu anakuwa na kiduka chake anaamua 'kukiuza'.

Kuuza huko ni vifaa vilivyomo pamoja na upangaji wa frem hiyo, ndiyo watu hufanya.

Anayenunua huhiyari kukiendeleza, ama kuhamisha vivaa vilivyomo na kukabidhi fremu, ni hiari ya mtu.

Na kwa 'kesi' hii, mtu ana hiari ya kununua vifaa na akahamishia sehemu nyingine na kuachia chumba.
 
Back
Top Bottom