Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
- Thread starter
-
- #21
Ukonga ni uswazi sana
Kuchagua tena?Picha ya hivyo vitu tuje kuchagua
Afanye milioni tano.Milioni 4 Huwezi kupata mteja, ni ghali Sana mkuu
Anauza mpaka chumba?Kuchagua tena?
Mwenzako anasukuma vitu vyote pamoja na chumba(pango) kwa mkupuo.
Ndiyo, kasema kimebakisha kodi ya mwezi mmoja.Anauza mpaka chumba?
Kwa hiyo kama nina chumba na vitu, ninapaswa kurithi vitu vya jamaa na chumba?Ndiyo, kasema kimebakisha kodi ya mwezi mmoja.
Unaenda kurithi upangaji.
Mkuu nadhani anafanya kama ambavyo baadhi ya jamaa wenye maduka hufanya.Kwa hiyo kama nina chumba na vitu, ninapaswa kurithi vitu vya jamaa na chumba?
Lazima?
Mbele ya airportUkonga iko wapi?