Naagiza gari Japan, msaada katika haya

Naagiza gari Japan, msaada katika haya

Joyce wohwoh

Member
Joined
Sep 17, 2021
Posts
80
Reaction score
185
Msaada tafadhali, nataka kuagiza gari Japan, naomba kujua mambo yafuatayo.
1. Je naweza kufanya clearance mwenyewe bila kutumia agent? Yaani nitoe gari mwenyewe bandarini bila msaada wa agent?

2. Je CIF inainclude nini na nini coz beforward nimeinquire price wamenitumia but wanasema hiyo bei ya CIF haijumuishi inspection, nikajiuliza kwa hyo natakiwa kulipia tena inspection huko Japan?
 
Kutoa gari bila Clearing agent hiyo haiwezekani hata kwa dawa.

La sivyo ufungue kampuni yako mapema ili ukiagiza gari utoe mwenyewe.
 
CIF ni Cost of buying , I-Insurance, F-Freight charges

Hizo ni Incoterms maneno ya Biashara za usafirishaji majini

CIF ni gharama ya kununua gari, bima ya gari inaposafirishwa na gharama ya kusafirisha melini

Inspection fee utaongeza hapo watakupa gharama ina range kwenye usd 100- 200
 
CIF ni Cost of buying , I-Insurance, F-Freight charges

Hizo ni Incoterms maneno ya Biashara za usafirishaji majini

CIF ni gharama ya kununua gari,bima ya gari inaposafirishwa na gharama ya kusafirisha melini

Inspection fee utaongeza hapo watakupa gharama ina range kwenye usd 100- 200
 
Back
Top Bottom