Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Fa masihara nini, mroge msiroge mwarabu kashabeba ubingwa, naahidi na tayari mzigo uko benki. Endapo mtafanikiwa kuwaadhibu waarabu kwao na kubeba ubingwa, siku hiyo ya jumamosi gemu ikiisha tu natuma vocha ya shs 10,000 kwa kila mtanzania kama ahadi.
Nimeshaongea na Tigo, Vodacom, Airtel na Halotel wameahidi kunipa ushirikiano, kesho naenda NBS - National Bureau of Statistics kuomba idadi ya watu hapa Bongo ili nifanye calculations.
Ahadi ni deni, nitatimiza.