Naahidi Yanga ikibeba kombe la losers kule Algeria nitamnunulia kila Mtanzania vocha ya Tsh. 10,000/=

Naahidi Yanga ikibeba kombe la losers kule Algeria nitamnunulia kila Mtanzania vocha ya Tsh. 10,000/=

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tupo marafiki wengi humu usijali....... ila lazima wapigwe nyingi, hawa jamaa wao wanajua kucheka wenzao, zamu yao imefika tukicheka wasema sio wazalendo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na kweli ..4-1 si mchezo😂
 
Yani kila uzi unaohusu Yang'a ukisoma comments za wana Yang'a unajikuta unatabasamu maana zinafurahisha mnoo zina hasira kali sana ndani yake.... [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom