Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
NAKAZIA KWA NGUVU SANA62,000,000 x 10,000
=620,000,000,000
Billion 620. Unahizo hela??
😂 Aitolee wapi huyoMe naomba afu' tatu kwanza,.
Sawa miye niandalie ya elfu kumi ya vodaFa masihara nini, mroge msiroge mwarabu kashabeba ubingwa, naahidi na tayari mzigo uko benki. Endapo mtafanikiwa kuwaadhibu waarabu kwao na kubeba ubingwa...
kabla ya yote... ukweli tunao, acha 10k ata ingekuwa 100 kwa kila mtz, una iyo hela faa masikhara nini...Fa masihara nini, mroge msiroge mwarabu kashabeba ubingwa, naahidi na tayari mzigo uko benki. Endapo mtafanikiwa kuwaadhibu waarabu...
Yani kila uzi unaohusu Yang'a ukisoma comments za wana Yang'a unajikuta unatabasamu maana zinafurahisha mnoo zina hasira kali sana ndani yake.... [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Yani kaa nao mbali...nimeona mpk nimepoteza marafiki naowapenda humu kisa wamemaindi navyowasema jamani 🤣🤣😭😭😭Na ukijichanganya unakula matusi mazito[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa wana strees na wakitoka huko kwa muarabu utasikia hatumtaki nabi[emoji23][emoji23][emoji23]
Yani kaa nao mbali...nimeona mpk nimepoteza marafiki naowapenda humu kisa wamemaindi navyowasema jamani [emoji1787][emoji1787][emoji24][emoji24][emoji24]
Bundle la kuingia JF unatumia Tigo niwezeshe halafu ndio unakuja kukata mauno hapa?Fa masihara nini, mroge msiroge mwarabu kashabeba ubingwa, naahidi na tayari mzigo uko benki. Endapo mtafanikiwa kuwaadhibu waarabu kwao na kubeba ubingwa, siku hiyo ya jumamosi gemu ikiisha tu natuma vocha ya shs 10,000 kwa kila mtanzania kama ahadi.
Nimeshaongea na Tigo, Vodacom, Airtel na Halotel wameahidi kunipa ushirikiano, kesho naenda NBS - National Bureau of Statistics kuomba idadi ya watu hapa Bongo ili nifanye calculations.
Ahadi ni deni, nitatimiza.
Pesa ya kula leo hana uhakika nayo, labda atowe ahadi ya kutowa takko atatimiza62,000,000 x 10,000
=620,000,000,000
Billion 620. Unahizo hela??
Ukute mlo wa jioni hajui unatokea wapi🤣🤣🤣62,000,000 x 10,000
=620,000,000,000
Billion 620. Unahizo hela??