Naambiwa ana mimba yangu

Yaani kakomaa kama anafikiri Biology haikwei mmh!
Nimemwambia awe makini atakuwa alichanganya madesa.

Fidel mie hapa naona tatizo ni wewe, kisa cha kuwa na mtu ambae huna future nae ni nini? Kama shida yako ni uroda mbona machangu kibao, huyu dada ulikuwa nae kwa ajili ya dezo au? Sijui huyu dada kama alikuwa anajua kuwa anatumiwa nae akan'gan'gania au ulikuwa unamghilibu kwa ahadi hewa.

Kwa raha yenu nyie wawili sasa mnaleta kiumbe duniani kisicho na hatia na future yake imeshaoneka itakuwa na mgogoro.

All in all please choose life over abortion.
 
Last edited:
Fedil kitanda haizai haramu bana maadamu ulisha mega bila kutumia nyezo basi kubali matoke, kwani shemeji anajua kwamba ulikuwa nakanyumba kidogo pembeni....
 


Mkuu fidel hapo mpaka vina saba ndio utajua ukweli...
 
Bila wasiwasi mkuu hii kitu inakuhusu we subiri uone baada ya miezi tisa jibu utalipata and so long as ulikula bila kunawana.
Cku nyingine mkuu kumbuka kunawa ni salama hata kwa afya kupima si kigezo tosha.
 
Unajua mkuu mpaka kachanga kazaliwe nitakuwa nimesha ingia hasara kubwa tu maana ilitokea sehemu jamaa kahudumia mtoto mpaka miaka 7 alafu mama akaja kumchukua na kusema mtoto wa mme mwingine dah ndo hapo sasa.


Mkuu kwani bado unajimegea au baada ya kupewa soo na mchezo umeisha?
 
Ba'Mkubwa soon unaanza kulea,

Hii Kitu Iwe ndio calender yake Mkuu!,



GoodLuck, Kama ni wako Step Up To the Game and Take Care of the Child!, Ila ndio hivyo tena DNA testing Muhimu,

B.
 
Fidel mie hapa naona tatizo ni wewe, kisa cha kuwa na mtu ambae huna future nae ni nini? Kama shida yako ni uroda mbona machangu kibao, huyu dada ulikuwa nae kwa ajili ya dezo au?.

Hapa Mndee wote tulikuwa tuna enjoy uroda lakini unapo sema tatizo ni mm unakosea. Na anajua kuwa swala letu zima kuonana ni uroda tu full kumega sasa tatizo ni kwamba aliona siku zake baada ya siku 4 hedhi ikaisha then siku ya 5 mm nikamega leo ananiambia ana mimba ni kweli mimba inaweza kutungwa kwa njia hiyo?
 
huyo anakudanganya ili umpe pesa ya abortion apate mtaji so take care!

Dah mkuu yaani hapa nashindwa nishike lipi na niache lipi.
Ila mzee jioni niandalie Konyagi kubwa sebuleni na mishikaki 5 utaagiza Blue Gate pale si jamaa anatengeneza? Akipita Doctor muulize hii ishu maana inanichanganya sana lakini nikipiga Konyagi hiyo najua nitakuja na mawazo mapya mazuri maana dahh siamini wakuu anyway nitakaa na mzee Chief Masanja tujadili kwa mapana.
 
Mpwa umenisikitisha sana! umeuza mechi kizembe sana, shukuru amekuambia ana mimba yako, hebu fikiria angekuambia anaUKIMWI wako hahahah pangetosha kweli hapa!.

Mpwa nipo makini sana mzeeya ndo maana nilimpeleka Angaza kwanza kujilidhisha kabla ya kutundika sox ili nimege vizuri lakini swala hapa ni hii mimba imekujaje kujaje wkt amemaliza hedhi siku ya 4 na siku ya 5 mimi nikamega!
 
Mpwa nipo makini sana mzeeya ndo maana nilimpeleka Angaza kwanza kujilidhisha kabla ya kutundika sox

fidel80 kama ulimwamini na ukatundika sox iweje ukatae matokeo? naomba uelewe wanawake miezi mingine wanaweza wakawa na double cycle.
 
fidel80 kama ulimwamini na ukatundika sox iweje ukatae matokeo? naomba uelewe wanawake miezi mingine wanaweza wakawa na double cycle.

Unamaanisha akiona mwezi akimaliza ana anza tena hapo hapo? Naomba ufafanuzi wa kisayansi zaidi.
 
Aaa Fidel nilijua we bonge la mjanja kumbe nawe kuna mambo yanakutatiza,anyway tuyaache hayo,swali kama mlienda mkapima na mkaamua ku-do without kinga sasa kwa nini mimba ije ushangae? hapo mkuu hakuna cha kushangaa hiyo mimba itakuwa ni ya kwako,ilishawahi kutokea pia kwa friend of mine,ushauri tuliza akili yako kwanza maana nahisi hili swala limekutatiza sana,na kingine usionyeshe mabadiliko yoyote kwa huyo dada maana ukionyesha mabadiliko nae pia anaweza kupata msongo wa mawazo.

gud day!
 
sasa tatizo ni kwamba aliona siku zake baada ya siku 4 hedhi ikaisha then siku ya 5 mm nikamega leo ananiambia ana mimba ni kweli mimba inaweza kutungwa kwa njia hiyo?

swala hapa ni hii mimba imekujaje kujaje wkt amemaliza hedhi siku ya 4 na siku ya 5 mimi nikamega?

ilishawahi kutokea pia kwa friend of mine,

Wakuu naona watu mnabadilisha theme nzima ya issue ya Fidel,
Sijaona mtu/mtaalamu aliyeweza kutuelezea kiundani how this can happen.
Naomba ufafanuzi kama hili kama nilivyo bold linaweza kuwa possible. Kuna jamaa yangu naye lilimtokea na mtoto inasemekana ni wake kabisa. Lakini swali kibiologia IS IT POSSIBLE? Hili ndilo swali kuu la Fidel kwamba mimba imekujaje kujaje wkt amemaliza hedhi siku ya 4 na siku ya 5 akafanya vitu????

Hata tukisema huyu dada alikuwa na mimba ya mtu mwingine how comes akawa kwenye hedhi???

Ni vyema tukapata majibu ya hayo maswali (kwani naona utata kubwa) kabla ya kuingia undani wa jamaa sijui kauza mechi, kafanya hili na lile ooh laaaa etc etc.
 
Last edited:
Yeah kichaa wangu hapo ni full kubambikwa ila simlaumu maana we are all human being so mchukulie poa na mlee vizuri hadi ajifungue maana yawezekana kwanza hana mimba ila anakujaribu kwamba unavyojimegea kavu ikitokea hivi utafanyaje? Sasa kama anakujaribu mwambie tu asubiri dogo aje duniani then utapata uhakika ila kwa sasa usimbuguzi kabisaaaaaaaaaaaa! Jinsi ulivyokuwa ukifurahia kumega kavu na hiyo uifurahie hivyo maana yawezekana mabadiliko ya hedhi yakasababisha kitu kama hicho then ukimtosa utaweka wapi sura yako endapo itakuja copyright? Tumia busara mazee
 
sasa luv ulienda kupima nae na huna future nae ilimradi u sex bila kinga?...na ulitegemea nini ulivyo sex nae bila kinga?.....
 


sasa huamini nini? kama umetungisha mimba au unaogopa majukmu ya ubaba?
 
Unamaanisha akiona mwezi akimaliza ana anza tena hapo hapo? Naomba ufafanuzi wa kisayansi zaidi.


wewe achana na sayansi kwasasa jipange na malezi.....ulitaka hiyo mimba ilivyongia uanze kupatwa vichefu chefu na kutapika ili ujue mimba ni yako?
 
Anaogopa huyo mtoto asije kuwa huyu



anaogopea nini kama alifanya bila kinga? hayo hayamuhusu kwasasa, cku zote mama ndio ajuae baba wa mtoto, yeye acheze hiyo ngoma tu! hana msaada kama alicheza bila step asaidiweje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…