MNDEE
JF-Expert Member
- Jul 10, 2009
- 491
- 68
Yaani kakomaa kama anafikiri Biology haikwei mmh!
Nimemwambia awe makini atakuwa alichanganya madesa.
Fidel mie hapa naona tatizo ni wewe, kisa cha kuwa na mtu ambae huna future nae ni nini? Kama shida yako ni uroda mbona machangu kibao, huyu dada ulikuwa nae kwa ajili ya dezo au? Sijui huyu dada kama alikuwa anajua kuwa anatumiwa nae akan'gan'gania au ulikuwa unamghilibu kwa ahadi hewa.
Kwa raha yenu nyie wawili sasa mnaleta kiumbe duniani kisicho na hatia na future yake imeshaoneka itakuwa na mgogoro.
All in all please choose life over abortion.
Last edited: