Inabidi tuelewe kuwa mwili wa mwanamke ni very complex, au sijui niseme miili yetu "wanadamu" ni very very complex machines which needs very good understanding to better serve them,
Tuelewe HEDHI:
Nini Maana ya HEDHI/MS - Hedhi ni kitendo kinachosababishwa na uvunjikaji wa ukuta unaojenga kizazi cha mwanamke pasipotokea fertilization "hapa kiswahili sijui inaitwaje"(Fertilization hutokea pale ambapo Sperm Ya Kiume Inakutana na Yai La Kike na kutengeneza an EMBRYO), na hii mara nyingi huwa hutokea mara moja kwa mwezi katika maisha ya mwanmke mpaka anapofikia Uzeeni ndio inaacha "Menopause". Katika siku zote za HEDHI wanawake wengi huwa wana-pata maumivu makali tumboni na huwa wana-mood swings. kemikali za mwili wa mwanamke huwa juu na mwili wake huwa wa u-oto-oto "Light Fever". Kwa wanawake wengi hizi huwa ni siku Saba za Maumivu "au wanaita HELL".
Kwa mfano:HEDHI ya mwanamke inaweza ikasababishwa na yeye "Mwanamke" kuwa too Excited or Depressed "Habari, Kushtuliwa, Furaha, Hasira etc" na hii huwa ndio Mbaya zaidi, mimi huwa naiita "Dead Mans Chest", Kwani kemikali ambazo ziko ndani ya mwili wa mwanamke "Luteinizing Hormone, Follicle Stimulating Hormone,Estrogen, Progesterone, Estradiol, Temperature, etc" hubadilika ghafla na kusababisha kuvunjika kwa wall of the uterus, hapa saa zingine kama mwanamke anamimba unaweza ikasababisha Mimba Kutoka Pia, Kuvunjika kwa ukuta wa uterus husababisha maumivu makali na damu nyingi hupotea/kutoka ambayo huambatana na fine walls "Endothelium" za uterus"kwani ndio HEDHI yenyewe Hii". Hii inaweza ikatokea once, twice or even more depending on the physical composition za huyo mwanamke mwenyewe.
Personally, I know someone ambae hedhi yake ni siku mbili hadi tatu, yaani nne the most, na mwingine Hedhi yake huwa ni Week au Week and a half, sasa hapa unaweza ona kuwa wanawake wameumbwa tofauti tofauti, na umbile la mwanamke halielezei chochote juu ya lini hedhi zitaanza kutoka, kwani chemical composition ndio determining factor ya hivi vitu.
Another thing,
Mwanamke hana Control Over Hizi HEDHI, yaani hawezi sema "Leo sivyo, Acha nianze Kesho" However Kuna vitu Kama "
Lady Calculator/Timer" which can help You/Her to Better Understand Her Cycles which can better serve your SEX desires and Help you from UNWANTED/UNPLANNED PREGNANCIES.
Hapo Chini Nimekuambatanishia, Cycle Calender Nyingine, Hii Pia Iwe Kichwani Mwako, Better Understand it Than Later being sorry, and Complain of the Pregnancy, Kama Hujaielewa ni PM nikueleze Zaidi:
Kama haiwezekani, Why Dont you use contraceptives? Hii issue ndugu yangu Naona itakuelemea, the more i write is the more i find out that Baby Might Be YOURS, Ila Sio Lazima iwe hivyo. Omba mungu awe wako na kama sio wako, basi vyema next time jiulize mara mbili mbili kama hujamwagia ndani!...
Conclusion:Ni vyema kama ukatambua siku za period za mwanamke wako, then mkapanga kalenda kujua mi lini inaanza na lini inaisha. Kwenye kalenda za HEDHI, there are only 28-30Days ambazo binti atakuwa kwenye cycles, na hizi cycles only 3-5 days are safe for you to have unprotected sex.
Kwa mfano kama mkeo/Mpenzi wako ana aanza cycle kuanzia tarehe 20/8 basi mpaka tarehe 25-6 hapo utakuwa safe, lakini baada ya hapo lazima uvae BUTI au u-cum nje, be careful tho, uki-cum nje sio tena unachomeka hapo hapo, hii inabidi utumie common sense. The Rest mpaka siku ya 30 utumie condom(s), It is safe and creates peace of mind after you are done.
Remember condom do not prevent you from STDs, na Broken Condom can Result to a Pregnant WOMAN!!!!! Be careful OUT There.
GooDLucK one More Time,
B.