Unataka kuwapunguzia perdiem?? Haitatokea hiyo. Watu wana njee bwashee usiombeNakubaliana na tafiti za watu mbalimbali kwamba CCM ITASHINDA KWA 99% hii ni kweli na mimi kama superbug naiamini CCM ila naomba niuthibitishie umma kwamba CCM inapendwa sana Tanzania.
Naiomba Polisi na vyombo vya usalama vikae pembeni vilinde uamuzi wa wananchi.
Hii itathibitisha kwamba chama changu CCM kimeshinda kwa halali na kukakata ngebe za upinzani.
Hashtag #tanpolstayawaywithourpolls also #wearebornfree
Vyombo vya usalama na sisi wananchi tunaipenda CCM mno tuiache isimame yenyewe.
Murotto akae pembeni atakula nini ?
Huo no ufinyu wa fikraNakubaliana na tafiti za watu mbalimbali kwamba CCM ITASHINDA KWA 99% hii ni kweli na mimi kama superbug naiamini CCM ila naomba niuthibitishie umma kwamba CCM inapendwa sana Tanzania.
Naiomba Polisi na vyombo vya usalama vikae pembeni vilinde uamuzi wa wananchi.
Hii itathibitisha kwamba chama changu CCM kimeshinda kwa halali na kukakata ngebe za upinzani.
Hashtag #tanpolstayawaywithourpolls also #wearebornfree
Vyombo vya usalama na sisi wananchi tunaipenda CCM mno tuiache isimame yenyewe.
Swali zuri, wanataka kutuaminisha kwamba walirudi na LowasaMimi ni mwanachama wa CCM kwa muda wa miaka mingi sana. Ninajua tutashinda, lakini tukishinga kwa zaidi ya 70% tumeiba kura ama wapinzani wamejitoa kwenye uchaguzi.
Siasa za karne na hakuna nchi duniani ambapo chama kinaweza kupata zaidi ya 60 to 70 % ya kura zote zinazopigwa.
Tuwe wakweli, haiwezekani hata kidogo, wale 6m waliopigia kura upinzani, leo wote wamerudi ccm?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema kweli tupu kwamba CCM itashinda kwa 99% kwa sababu nia, uwezo inao tena mkubwa. Kwa Mara ya Kwanza toka mfumo wa vyama vingi uanze CCM imekuwa ni sehemu ya kila mtanzania.
Uliposema vyombo vya ulinzi vikae pembeni ndio umepotosha. Polisi haijawahi kuwa mbereko ya CCM na hii ndio sifa kubwa ya kujivunia. Kinachofanyika ni kulinda mchakàto mzima wa uchaguzi ili usitibuliwe na wahuni.
Unamiini kwa asilimia ngap uchaguz hautakuwa wa uchakachuaji?Nakubaliana na tafiti za watu mbalimbali kwamba CCM ITASHINDA KWA 99% hii ni kweli na mimi kama superbug naiamini CCM ila naomba niuthibitishie umma kwamba CCM inapendwa sana Tanzania.
Naiomba Polisi na vyombo vya usalama vikae pembeni vilinde uamuzi wa wananchi.
Hii itathibitisha kwamba chama changu CCM kimeshinda kwa halali na kukakata ngebe za upinzani.
Hashtag #tanpolstayawaywithourpolls also #wearebornfree
Vyombo vya usalama na sisi wananchi tunaipenda CCM mno tuiache isimame yenyewe.
Huamini hata kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa mlipata 99.9 % kama ilivyotangazwa na Mtukufu Jaffo ?Mimi ni mwanachama wa CCM kwa muda wa miaka mingi sana. Ninajua tutashinda, lakini tukishinga kwa zaidi ya 70% tumeiba kura ama wapinzani wamejitoa kwenye uchaguzi.
Siasa za karne na hakuna nchi duniani ambapo chama kinaweza kupata zaidi ya 60 to 70 % ya kura zote zinazopigwa.
Tuwe wakweli, haiwezekani hata kidogo, wale 6m waliopigia kura upinzani, leo wote wamerudi ccm?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo 99.9% ni pamoja na Tume ya Uchaguzi,Vyombo vya Usalama,Wakurugenzi,Watendaji mitaa na Vijiji ,Ofisi kuu ya Bao la Mkono,Nape+Kinana =OyeeeerNakubaliana na tafiti za watu mbalimbali kwamba CCM ITASHINDA KWA 99% hii ni kweli na mimi kama superbug naiamini CCM ila naomba niuthibitishie umma kwamba CCM inapendwa sana Tanzania.