Uchaguzi 2020 Naamini CCM itashinda kwa 99%, Vyombo vya usalama kaeni pembeni mniprove wrong

Nakubaliana na tafiti za watu mbalimbali kwamba CCM ITASHINDA KWA 99% hii ni kweli na mimi kama superbug naiamini CCM ila naomba niuthibitishie umma kwamba CCM inapendwa sana Tanzania.

Naiomba Polisi na vyombo vya usalama vikae pembeni vilinde uamuzi wa wananchi.

Hii itathibitisha kwamba chama changu CCM kimeshinda kwa halali na kukakata ngebe za upinzani.

Hashtag #tanpolstayawaywithourpolls also #wearebornfree

Vyombo vya usalama na sisi wananchi tunaipenda CCM mno tuiache isimame yenyewe.
CCM wanaoga tume huru
 
Upinzani hata wangeshinda kwa aslimia 70 baada ya miaka miwili tu wote watakuwa wameenda sisiem kwa kasi ya ajabu
 
Umesema kweli tupu kwamba CCM itashinda kwa 99% kwa sababu nia, uwezo inao tena mkubwa. Kwa Mara ya Kwanza toka mfumo wa vyama vingi uanze CCM imekuwa ni sehemu ya kila mtanzania.

Uliposema vyombo vya ulinzi vikae pembeni ndio umepotosha. Polisi haijawahi kuwa mbereko ya CCM na hii ndio sifa kubwa ya kujivunia. Kinachofanyika ni kulinda mchakàto mzima wa uchaguzi ili usitibuliwe na wahuni.
Mungu akusamehe bure
 
Nakubaliana na tafiti za watu mbalimbali kwamba CCM ITASHINDA KWA 99% hii ni kweli na mimi kama superbug naiamini CCM ila naomba niuthibitishie umma kwamba CCM inapendwa sana Tanzania.

Naiomba Polisi na vyombo vya usalama vikae pembeni vilinde uamuzi wa wananchi.

Hii itathibitisha kwamba chama changu CCM kimeshinda kwa halali na kukakata ngebe za upinzani.

Hashtag #tanpolstayawaywithourpolls also #wearebornfree

Vyombo vya usalama na sisi wananchi tunaipenda CCM mno tuiache isimame yenyewe.

HAHHA
THUBUTU!
 
Back
Top Bottom