Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
CCM wanaoga tume huruNakubaliana na tafiti za watu mbalimbali kwamba CCM ITASHINDA KWA 99% hii ni kweli na mimi kama superbug naiamini CCM ila naomba niuthibitishie umma kwamba CCM inapendwa sana Tanzania.
Naiomba Polisi na vyombo vya usalama vikae pembeni vilinde uamuzi wa wananchi.
Hii itathibitisha kwamba chama changu CCM kimeshinda kwa halali na kukakata ngebe za upinzani.
Hashtag #tanpolstayawaywithourpolls also #wearebornfree
Vyombo vya usalama na sisi wananchi tunaipenda CCM mno tuiache isimame yenyewe.
Huamini hata kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa mlipata 99.9 % kama ilivyotangazwa na Mtukufu Jaffo ?
Mungu akusamehe bureUmesema kweli tupu kwamba CCM itashinda kwa 99% kwa sababu nia, uwezo inao tena mkubwa. Kwa Mara ya Kwanza toka mfumo wa vyama vingi uanze CCM imekuwa ni sehemu ya kila mtanzania.
Uliposema vyombo vya ulinzi vikae pembeni ndio umepotosha. Polisi haijawahi kuwa mbereko ya CCM na hii ndio sifa kubwa ya kujivunia. Kinachofanyika ni kulinda mchakàto mzima wa uchaguzi ili usitibuliwe na wahuni.
Nakubaliana na tafiti za watu mbalimbali kwamba CCM ITASHINDA KWA 99% hii ni kweli na mimi kama superbug naiamini CCM ila naomba niuthibitishie umma kwamba CCM inapendwa sana Tanzania.