Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Hongera sana Engineer Fatma Kara, Samia Foundation na Team ya Quality Builders kwa mwanzo mzuri sana. Naamini hakuna mwengine atakayeweza kutafsiri Ndoto na Maono ya Mhe. Dr. Samia Suluhu Hassan ya kuwagusa na kuwafikia Wananchi katika huduma za kijamii zenye Viwango vya Hali ya juu kama vinavyotolewa nchi zilizoendelea. Hongereni sana kwa Hatua hiyo ya awali.
Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki