Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha mgeni rasmi alikuwa nani?Hahaa mgeni rasmi alivyoona tumefungwa la tatu akasepa kaondoka mdogo mdogo, kitu kimeonyeshwa kipo tupu jamaa kasepa
mpaka ccm itoke madarakani ndio tutashinda swiss me
uganda funga tanzania mbili bila
Aiseee
Hahaha mgeni rasmi alikuwa nani?
Alafu lilivyofungwa goli la tatu wakamuonesha mainzi anatikisa kichwa.. Hahaa kumbe yeye pia ni mzigo soka la bongo
Viongozi wa tff wapo tu na matumbo yao makubwa kma pipaTFF yenyewe majanga .... Wanakaa tu pale kuwaza kula tu na kutimua makocha. Wajiuzulu wao.