matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Nimegundua watu wengi wako kwenye dini walizoko kwa mashinikizo ya kijamii na sio hiyari.
Nimeona vijana wawili walipohama kutoka katika dini zao za kikristo na kuhamia ukristo mwingine wazazi waliwakataa na kugoma kuwasaidia. Tena mmoja kaishia form 2.
Juzi nimemuona kijana mmoja Muislam kaja kanisani tena bila kuhubiriwa ila anasema kwao waliposikia wanamuita kafiri na wanamtenga. Mwingine anaogopa kurudi kwao Tanga maana walimuita kwenye kikao anahofu anaweza kumalizwa kabisa.
My take
Kama Mungu alimuacha Shetani aende zake na wafuasi wake, kwa ninj sisi leo tunatumia mateso, ubabe na vitisho kuhakikisha watu wetu hawahamii katika mtazamo mpya wa imani. Je sisi tuna nguvu huliko Mungu?
Mbona wakianza kulewa, uhuni au uchafu mwingine tunawavumilia ila sio kubadili mtazamo wa imani?
Ni hayo tu....