Naamini kama hakungekuwa na vitisho vya kuhama dini. Watu wengi wasingekuwa kwenye dini zilizopo

Naamini kama hakungekuwa na vitisho vya kuhama dini. Watu wengi wasingekuwa kwenye dini zilizopo

Aaaah mimi suala la kwenda kusali ni Mpaka uwe na hela mimi huo ufara sifanyi..

Kuna dogo nilimpokea geto kwangu ana dini sana weekend ya kwanza ameenda kusali kanisani.. jpili iliyo fuata naona mtu hatoki ndani .... ikabid nimuulize unaumwa? Akaniambia “kanisani kwetu muda wa kutoa sadaka wanainuka kwa mstari mimi sina hela kutokuinuka ni aibu “”

Ilibidi nishangae hii dini ni ya wenye hela tu au Mungu wao bila hela hapokei sala yako
Nani kasema kusali ni mpaka uwe na hela? huyo mdogo wako angekausha angeinuliwa kwa nguvu? au ni fikira na mtazamo tu juu ya utoaji wa sadaka? sadaka inataka mtu atoe kwa kadri alivyojaliwa si kwa kulazimishwa bali kwa moyo wa kupenda
 
Sasa hao madogo wanahama dini wakati wapo chini ya wazazi. Ukishakuwa mkubwa ukahama dini haileti shida, wataongea mwisho wataacha maana hawana la kukufanya.
Jau sana hutaki kwenda kanisani halafu mzazi anakulazimisha.

Ukiuliza shida nini anasema watu watamuonaje...

Aisee.
 
Jau sana hutaki kwenda kanisani halafu mzazi anakulazimisha.

Ukiuliza shida nini anasema watu watamuonaje...

Aisee.
Nakumbuka nyumbani ilikuwa ni lazima kwenda kanisani yaani hakuna sababu unaweza ukatoa ueleweke, labda ugonjwa tu.
Ila siku hizi church siendi na hata nikienda home wanaenda church mi nabaki zangu nyumbani hakuna anayeniuliza.
 
Bila mashinikizo na with time, hizi imani kongwe za dini zinaendelea kufia mbali, miaka 50 ijayo zote zitakua historia tu na dunia itakua ishaadvance sana kuamini vitu visivyo na proof. Kizazi cha imani hizi kitakua kishazikwa na watakua mbinguni na firdaus wanapoamini
 
Nimegundua watu wengi wako kwenye dini walizoko kwa mashinikizo ya kijamii na sio hiyari.
Nimeona vijana wawili walipohama kutoka katika dini zao za kikristo na kuhamia ukristo mwingine wazazi waliwakataa na kugoma kuwasaidia. Tena mmoja kaishia form 2.

Juzi nimemuona kijana mmoja Muislam kaja kanisani tena bila kuhubiriwa ila anasema kwao waliposikia wanamuita kafiri na wanamtenga. Mwingine anaogopa kurudi kwao Tanga maana walimuita kwenye kikao anahofu anaweza kumalizwa kabisa.

My take
Kama Mungu alimuacha Shetani aende zake na wafuasi wake, kwa ninj sisi leo tunatumia mateso, ubabe na vitisho kuhakikisha watu wetu hawahamii katika mtazamo mpya wa imani. Je sisi tuna nguvu huliko Mungu?
Mbona wakianza kulewa, uhuni au uchafu mwingine tunawavumilia ila sio kubadili mtazamo wa imani?

Ni hayo tu....
1. Rumi
2. Arabuni
 
Nani kasema kusali ni mpaka uwe na hela? huyo mdogo wako angekausha angeinuliwa kwa nguvu? au ni fikira na mtazamo tu juu ya utoaji wa sadaka? sadaka inataka mtu atoe kwa kadri alivyojaliwa si kwa kulazimishwa bali kwa moyo wa kupenda
Ingekuwa ni hvyo mngeweka suala la utoaji liwe binafsi na sio kuinua mtu mmoja mmoja au kwa mstari
 
Ingekuwa ni hvyo mngeweka suala la utoaji liwe binafsi na sio kuinua mtu mmoja mmoja au kwa mstari
ni utaratibu tu wa hilo kanisa, ambao huwezi ukaukuta sehemu nyingine, pamoja na huo utaratibu bado haujanyenyuliwa kwa nguvu kwamba bwana MduduAli mbona haujatoa sadaka? hiyo haipo
 
Back
Top Bottom