Naamini kama hakungekuwa na vitisho vya kuhama dini. Watu wengi wasingekuwa kwenye dini zilizopo

Nani kasema kusali ni mpaka uwe na hela? huyo mdogo wako angekausha angeinuliwa kwa nguvu? au ni fikira na mtazamo tu juu ya utoaji wa sadaka? sadaka inataka mtu atoe kwa kadri alivyojaliwa si kwa kulazimishwa bali kwa moyo wa kupenda
 
Sasa hao madogo wanahama dini wakati wapo chini ya wazazi. Ukishakuwa mkubwa ukahama dini haileti shida, wataongea mwisho wataacha maana hawana la kukufanya.
Jau sana hutaki kwenda kanisani halafu mzazi anakulazimisha.

Ukiuliza shida nini anasema watu watamuonaje...

Aisee.
 
Jau sana hutaki kwenda kanisani halafu mzazi anakulazimisha.

Ukiuliza shida nini anasema watu watamuonaje...

Aisee.
Nakumbuka nyumbani ilikuwa ni lazima kwenda kanisani yaani hakuna sababu unaweza ukatoa ueleweke, labda ugonjwa tu.
Ila siku hizi church siendi na hata nikienda home wanaenda church mi nabaki zangu nyumbani hakuna anayeniuliza.
 
Bila mashinikizo na with time, hizi imani kongwe za dini zinaendelea kufia mbali, miaka 50 ijayo zote zitakua historia tu na dunia itakua ishaadvance sana kuamini vitu visivyo na proof. Kizazi cha imani hizi kitakua kishazikwa na watakua mbinguni na firdaus wanapoamini
 
1. Rumi
2. Arabuni
 
Nani kasema kusali ni mpaka uwe na hela? huyo mdogo wako angekausha angeinuliwa kwa nguvu? au ni fikira na mtazamo tu juu ya utoaji wa sadaka? sadaka inataka mtu atoe kwa kadri alivyojaliwa si kwa kulazimishwa bali kwa moyo wa kupenda
Ingekuwa ni hvyo mngeweka suala la utoaji liwe binafsi na sio kuinua mtu mmoja mmoja au kwa mstari
 
Ingekuwa ni hvyo mngeweka suala la utoaji liwe binafsi na sio kuinua mtu mmoja mmoja au kwa mstari
ni utaratibu tu wa hilo kanisa, ambao huwezi ukaukuta sehemu nyingine, pamoja na huo utaratibu bado haujanyenyuliwa kwa nguvu kwamba bwana MduduAli mbona haujatoa sadaka? hiyo haipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…