W White drone JF-Expert Member Joined Mar 20, 2023 Posts 201 Reaction score 386 Nov 24, 2024 #1 Sijui nini unachopitia wakati huu lakini naamini una jambo linakuumiza akili na moyo ongea na Mungu wako akutue huo mzigo wa maumivu haustahili kuendelea kuteseka kama ni kujifunza tayari umeshahitimu, Nikutakie USIKU MWEMA.
Sijui nini unachopitia wakati huu lakini naamini una jambo linakuumiza akili na moyo ongea na Mungu wako akutue huo mzigo wa maumivu haustahili kuendelea kuteseka kama ni kujifunza tayari umeshahitimu, Nikutakie USIKU MWEMA.