Naamini kuna wasanii wanafanya muziki mzuri kuliko hata Diamond na Alikiba

Naamini kuna wasanii wanafanya muziki mzuri kuliko hata Diamond na Alikiba

Valsava

Senior Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
161
Reaction score
116
Uwepo wa timu za kishabiki ndio unaofanya wasanii wengi wasing'are. Ila kiukweli wasanii kama Darassa, Ben Paul, Barakah, Jux, Barnaba wanafanya mziki mzuri kuliko uwepo wa timu za kishabiki ndio unaofanya wasanii wengi wasing'are.

Timu zao zitaua mziki wetu hawa mafahali wawili.
 
tuanzie hapo, mziki mzuri kwako wewe una maana gani? na unapimwa na nini?
 
Sijamuona Man Fongo na Nay Wa Mitego kwenye hiyo list yako mkuu
 
Niko namsikiliza Babylon Byser kitu cha Mboga Saba, dah, ni noma!

Huku King Kiba na Yooo zake kama kawa.
 
Uwepo wa timu za kishabiki ndio unaofanya wasanii wengi wasing'are.Ila kiukweli wasanii kama Darassa,Ben paul,barakah,jux,Barnaba wanafanya mziki mzuri kulikoUwepo wa timu za kishabiki ndio unaofanya wasanii wengi wasing'are.Ila kiukweli wasanii kama Darassa,Ben paul,barakah,jux,Barnaba wanafanya mziki mzuri kuliko hawa mafahali wawili.Timu zao zitaua mziki wetu. hawa mafahali wawili.Timu zao zitaua mziki wetu.
Umenena vema.
 
Kuna upande wanao nufaika na team hizo. Bila hilo wangesha jifia.
 
Uwepo wa timu za kishabiki ndio unaofanya wasanii wengi wasing'are.Ila kiukweli wasanii kama Darassa,Ben paul,barakah,jux,Barnaba wanafanya mziki mzuri kulikoUwepo wa timu za kishabiki ndio unaofanya wasanii wengi wasing'are.Ila kiukweli wasanii kama Darassa,Ben paul,barakah,jux,Barnaba wanafanya mziki mzuri kuliko hawa mafahali wawili.Timu zao zitaua mziki wetu. hawa mafahali wawili.Timu zao zitaua mziki wetu.
Sasa Baraka ana mzki gani umulinganishe na Diamond,Acha kumlinganisha Diamond na wasanii uchwara
 
Back
Top Bottom