Naamini kuna wasanii wanafanya muziki mzuri kuliko hata Diamond na Alikiba

Naamini kuna wasanii wanafanya muziki mzuri kuliko hata Diamond na Alikiba

acha kumlinganisha simba na vitu vya kijinga!! kwahiyo nchi nyingine kama burundi, rwanda,malawi n.k nako kuna team?
 
Uwepo wa timu za kishabiki ndio unaofanya wasanii wengi wasing'are.Ila kiukweli wasanii kama Darassa,Ben paul,barakah,jux,Barnaba wanafanya mziki mzuri kulikoUwepo wa timu za kishabiki ndio unaofanya wasanii wengi wasing'are.Ila kiukweli wasanii kama Darassa,Ben paul,barakah,jux,Barnaba wanafanya mziki mzuri kuliko hawa mafahali wawili.Timu zao zitaua mziki wetu. hawa mafahali wawili.Timu zao zitaua mziki wetu.
kila mtu na muziki anao upenda sasa hao ni watengeneza pesa wengine wanaburudisha
 
Ndio maisha yalivyo mkuu.

Usililie kipaji lilia bahati.

Diamond agusi hata nusu ya uwezo wa Mavoko ila leo Diamond anaingia hela kwa mgongo wa mavoko.

Mtu kama Jux yule sio level za nchi hii ila wabongo hawamuelewi wanataka na yeye Aimbe kwa kupayuka kama Raymond ndio wamuone mkali.
 
Yeah for sure.. Fid q na Ben Paul... Ni kielelezo kizur..
Uwezo wa hawa jamaa kungara kwenye aina ileile ya muziki uliowatambulisha.. Sio kitu Cha mchezo.. Personal naona hawa jamaa they have strong talents..
Fid Q amestick kwenye hip-hop lakini Cjawahi kumchoka.. Anabadilikia humohumo lakini hachoshi..ndo anazid kutupa utamu... Yaani akizingumza mapenz.. Siasa na social issues.. Bongo Hip Hop inamaliza mambo yote..
Same to Ben paul..RnB Bongo flava...ndo Utamuduni wake na Cjawahi kumchoka..
Sio jamaa zetu Bhana.. Mara leo mduara.. Kesho bongofleva.. Keshokutwa mchiriku..
 
Back
Top Bottom