Naamini kuna watu wameweza ku-unlock secret codes za maisha na wanaishi kawaida na sisi kama watu wa kawaida

Naitafakari sana kauli ya diamond platnumz kwenye wimbi wake mmoja anaposema; namnukuu; "hii ni sauti ya raisi, iliomshindaga Ibilisi na kwa mwanadamu sio rahisi" kuna vingi sana amevificha kwenye ubeti huu. Sio kwasababu ya kutafuta vina ili aweze ku'flow' la hasha;alilenga kufikisha ujumbe ambao Leo hii ndio tunajionea mafanikio yake makubwa asili yake iko wapi.
 
Nadhani jina la wimbo ni "nimpende nani"
 
si kwamba hao waliofanikiwa kuna codes wamefungua ni vile tu wameweza kugusa vitu vinavyoweza kuwapatia matokeo makubwa!.
wanajua namna yakugusa,wanajua kuteleza kupoje,wanajua kuinuka pia kupoje..
kuna baadhi ya vitu kama siasa na dini kuna pengo kubwa sana la watu kutupiga maana hizo vitu mbili ni michezo ya kisaikolojia tu!.
udhaifu utakaouonyesha ndio tutakupigia hukohuko

wanajua mnashahuku za imani,na fikra zenu zinakiu za kutaka kuufahamu ukweli ama kuwafikisha kule mnakofikiria mnataka kufika..
so hiyo inatosha kuwafunga minyororo nakufanya mumfate aliewafunga!.

uhalisia wa mwanadamu upo ktk kutafiti,ila wengi hawatafiti maana tafiti inahitaji kufikiri na wengi ni wavivu kufikiri so waliojanjaluka wanatumia hiyo gap!..
ni sayansi ya kweli tu ndio haidanganyi na ukiona sayansi imedanganya jua wewe ndio umekosea kuitafsiri yani bado hujapata jibu!..
 
Code ni kujua source of knowledge Kama

Revelation
Intuition
Sense
Instinct

Kuna utofauti Kati ya MTU anayeamini kuanzia ndani yake na yule anayeamini kupitia mawazo na maoni ya watu .

Doesn't matter unapambana kiasi gani Ila ukiwa hauna the strongest inner power u will end up being broke with endless disappointments.

I used to unlock this code 2019 since then mambo yana flow vizuri.

Wazungu na watu extraordinary people wametuzidi sehemu Kama hizo kujisikiliza kuanzia ndani yao then kuweka vitu katika vitendo.


Ndo maana nashauri if you want to be come an extraordinary , focus on self-investment hata usipokuwa tajiri wa majumba na magari Ila kuna hatua ya ukuaji utafikia itayokupa the meaning life
 
Mafanikio ni nini?
99% ya watoto wa wakubwa wanamaisha bora kabisa ubalozini na nyazifa mbali mbali serikalini wanahongo Ist kama vile njugu tu
Hawa hawakuna na maajabu yoyote darasani wala hawana juhudi yoyote kazini wala hawakusikilza inner self zao ila wanakula mema ya nchi
 

umenena vizuri sana mkuu
 
Mzee unawaitia nini Wapare?😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…