Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Ahaaa kumbe! Shukrani sana kwa mwongozoKufahamu mambo yaliyonje ya uwezo wa binadamu wengi, akili kubwa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaaa kumbe! Shukrani sana kwa mwongozoKufahamu mambo yaliyonje ya uwezo wa binadamu wengi, akili kubwa...
Karibu sweetheart...Ahaaa kumbe! Shukrani sana kwa mwongozo
Usisahau kunitag mkuu, pia itapendeza ukiambatanisha na vitabu vyenye kufanana na hii mada.Ngoja nikae vizuri nitaelezea
Nadhani jina la wimbo ni "nimpende nani"Naitafakari sana kauli ya diamond platnumz kwenye wimbi wake mmoja anaposema; namnukuu; "hii ni sauti ya raisi, iliomshindaga Ibilisi na kwa mwanadamu sio rahisi" kuna vingi sana amevificha kwenye ubeti huu. Sio kwasababu ya kutafuta vina ili aweze ku'flow' la hasha;alilenga kufikisha ujumbe ambao Leo hii ndio tunajionea mafanikio yake makubwa asili yake iko wapi.
Ntampata wapi song nameNadhani jina la wimbo ni "nimpende nani"
sio pouwaWith great power lazima uwe na kitu Cha ziada aisee.... Imagine tu mtu kama Mwamposa hizo nyomi zake we unahisi yule no mtu wa kawaida kama Mimi na wewe??
psychology manipulation....With great power lazima uwe na kitu Cha ziada aisee.... Imagine tu mtu kama Mwamposa hizo nyomi zake we unahisi yule no mtu wa kawaida kama Mimi na wewe??
Naona unajiongelesha na kujijibu mwenyewe na ID zako, basi hii ndio secret codeKaribu sweetheart...
JF kuna mazumbukuku wengi sana we acha tu.Naona unajiongelesha na kujijibu mwenyewe na ID zako, basi hii ndio secret code
Mafanikio ni nini?Code ni kujua source of knowledge Kama
Revelation
Intuition
Sense
Instinct
Kuna utofauti Kati ya MTU anayeamini kuanzia ndani yake na yule anayeamini kupitia mawazo na maoni ya watu .
Doesn't matter unapambana kiasi gani Ila ukiwa hauna the strongest inner power u will end up being broke with endless disappointments.
I used to unlock this code 2019 since then mambo yana flow vizuri.
Wazungu na watu extraordinary people wametuzidi sehemu Kama hizo kujisikiliza kuanzia ndani yao then kuweka vitu katika vitendo.
Ndo maana nashauri if you want to be come an extraordinary , focus on self-investment hata usipokuwa tajiri wa majumba na magari Ila kuna hatua ya ukuaji utafikia itayokupa the meaning life
Code ni kujua source of knowledge Kama

umenena vizuri sana mkuuCode ni kujua source of knowledge Kama

Mzee unawaitia nini Wapare?😂Hivi ni akina nani hao ambao wanakua considered kuwa wame Break secret code?
Nyerere, Platinumz, Samatta, Ramadhani Brothers, Bharesa, Mo au Kusaga nk nk?
Ni Dangote, Mo Salah, Davido au Noah nk nk?
Je ni Trump, Bill Gate, Steve Job, Jay Z au Messi nk nk
Je ni Alexendra the Great, Newton, Einstein nk nk
Na akina nani hao ambao ni HIGHER-POWER
Nature ina sheria zake
Most people intend to ignore NATURE na kuanza kukumbatia IMANI kutafuta majibu
Binadamu hajui kila kitu lakini angalau sayansi imetusaidia kujibu maswali mengi yaliosingiziwa IMANI
Tunahitaji kuijua zidi The Law Of Nature
Kwanini kuna usiku na mchana, kuna majira kwa mwaka, kuna viumbe wakike wengi kuliko wakiume, kwanini social animal wanauongozi, kwanini wengine ni masikini wengine matajiri,
Kwanini sehemu fulani wanaugua sana ugonjwa fulani
Kwanini wapare ni wafupi nk nk
Badala yake tumejikita sana kwenye IMANI zitokanazo na vitabu ambavyo havijulikani muandishi ni nani wala vya mwaka gani wala ukweli wake na havina uthibitisho wowote zaidi ya hekaya za elfu ulela
Tuna amini katika nadharia hewa na kujijengea “fear of unknown”
Majibu ya hoja zako kiasi kikubwa yanajibika kisayansi
Mimi nahisi hawa watu kuna nguvu wanazaliwa nayo lakini sio kama kuna any secret code ambayo wameweza ku crack.With great power lazima uwe na kitu Cha ziada aisee.... Imagine tu mtu kama Mwamposa hizo nyomi zake we unahisi yule no mtu wa kawaida kama Mimi na wewe??