Naamini kuna watu wameweza ku-unlock secret codes za maisha na wanaishi kawaida na sisi kama watu wa kawaida


Umenena vema san hizi lyrics zina maana sana wakati mwingine chek hizi lyrics za P-square katika wimbo wao wa Bring it on nanukuu “ i don care who you’re and where you 4m @ what you do just as long as you chasing money do what’s right never give upon……… Life no dey sweet o eh
If some people no dey hate o
So use your number six o
Dey calculate you go see the ratio
The beef sef na meat o
Whether na asun dem relate o
So bring your own crayfish o
We go mix o oh na oh oo

We running things in this town cant you see”
So hapo kuna kitu ni direct wamefanikiwa sbb ya mikataba yao ya kuzimu so wanajaribu kutufichua akili zetu [emoji2213]
 
Tukikwambia kwa huo ufahamu wako uutumie kuteka watu kiimani, kiuchumi na mengine unaweza ?
 
Hao ote ulowataja hapo ni wachumba tu mzee kuna 8% up to 10% ya watu ndo wanaoongoza ulimwengu huu na ote hao ndo secret code breaker refer rock feller family na nyinginezo
 
Hapo kwenye instinct uko sahihi kabisa.
 
Kuna ukweli ndani yake... Ukiangalia na kufatilia watu mashuhuri especially wasanii... Kuna vitu wanafanya behind the scenes (kupata fame na success) sidhan kua et kipaj na uwezo binafs ndo viliwatoa. It's all about the secret society.
 
Hao ote ulowataja hapo ni wachumba tu mzee kuna 8% up to 10% ya watu ndo wanaoongoza ulimwengu huu na ote hao ndo secret code breaker refer rock feller family na nyinginezo
Dunia inaongozwa na elite illuminated family Ambao ni watano TU.
Pesa zote duniani ni mali ya familia ya Rockefeller hawa ndio wamiliki WA world bank,madini yote dunia ni mali ya de beers bila kujali ypo nchi gani sisi ni wasimamizi TU wao ndio upanga Bei ya madini duniani.Kuna kina Du point family,Rothchild na nk wengi ni wayahudi
 
Ina maana maisha lazima uende beyond kidogo na mazoea ya watu ili uwe tofauti haswa katika jamii maskini hususani Africa.

Kwa sababu wazungu wanapo tafuta pesa hawaangalii jamii inasema nn ! Kama kuna watu wapo serious kutafuta pesa basi ni wazungu ili mradi wapate pesa tu mfano kuna watu ni pornstars tena ni prominent status kabisa wala hawajali kikubwa maokoto .

Watu wanaangalia matokeo sio nn unafanya .
 
Kuna kitabu cha Henry Ford ~ Today & Tommorow alijibu masuali mawili mule
Na nukuu “Why Dishonesty People succed in life??! and Why Honesty People Fail In Life?? Majibu yake Yana play role inayofanya wakati Mwingine tutofautiane kimafanikio
Mkuu naweza PATA softcopy hii
 
Nashangaa mkuu

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Hizi nyuzi zako zina amsha amsha ya kufanya watu waangalie mambo katika sura nyingine.

Dunia imejaa nadharia nyingi sana ambazo hazijafanyiwa kazi.
Tatizo ni namna ya kuzing'amua.
Mfano mzuri ni, Elon Musk anavyofanya mambo kwa mtazamo/nadharia tofauti na ile iliyozoeleka....hii inaonesha yako mambo mengi sana ila yote yanategemea uwezo wa kifikra wa binadamu kùyafanya bayana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…