Hivi ni akina nani hao ambao wanakua considered kuwa wame Break secret code?
Nyerere, Platinumz, Samatta, Ramadhani Brothers, Bharesa, Mo au Kusaga nk nk?
Ni Dangote, Mo Salah, Davido au Noah nk nk?
Je ni Trump, Bill Gate, Steve Job, Jay Z au Messi nk nk
Je ni Alexendra the Great, Newton, Einstein nk nk
Na akina nani hao ambao ni HIGHER-POWER
Nature ina sheria zake
Most people intend to ignore NATURE na kuanza kukumbatia IMANI kutafuta majibu
Binadamu hajui kila kitu lakini angalau sayansi imetusaidia kujibu maswali mengi yaliosingiziwa IMANI
Tunahitaji kuijua zidi The Law Of Nature
Kwanini kuna usiku na mchana, kuna majira kwa mwaka, kuna viumbe wakike wengi kuliko wakiume, kwanini social animal wanauongozi, kwanini wengine ni masikini wengine matajiri,
Kwanini sehemu fulani wanaugua sana ugonjwa fulani
Kwanini wapare ni wafupi nk nk
Badala yake tumejikita sana kwenye IMANI zitokanazo na vitabu ambavyo havijulikani muandishi ni nani wala vya mwaka gani wala ukweli wake na havina uthibitisho wowote zaidi ya hekaya za elfu ulela
Tuna amini katika nadharia hewa na kujijengea “fear of unknown”
Majibu ya hoja zako kiasi kikubwa yanajibika kisayansi