Naamini kuna watu wameweza ku-unlock secret codes za maisha na wanaishi kawaida na sisi kama watu wa kawaida

Naaam [emoji109]
 
Hata ha
ARISTOTLE, ISAAC NEWTON, FARADAY, VOLTAIRE, ALBERT EINSTEIN, ALEXANDER BELL, ENZO FERRARI, GALILEO, MAX PLANCK, ALESANDRO VOLTA to name a few
Hata hawa kazi zao zilihodhiwa na wenye maamuzi.Hata akina Elon Musk kuna watu wako nyuma yake wanatengeneza mazingira ya yeye kufanya vizuri, siku akiwazingua hao atapolomoka
 
Hata ha

Hata hawa kazi zao zilihodhiwa na wenye maamuzi.Hata akina Elon Musk kuna watu wako nyuma yake wanatengeneza mazingira ya yeye kufanya vizuri, siku akiwazingua hao atapolomoka
Hao watu anawalipa au wanamlipa..?
 
Tukiwaangalia waliofanikiwa jinsi wanavyoishi kana kwamba kuna codes flani wamecrak tuwaangalie na maskini wenyewe wanaishi vipi mpka hawatoboi.

Problem ni kwamba we all want to be elon musk, rockerfeller, bill gates. Mbona hamna wanaotaka kuwa kama akina Plato, Einstein, Carl max ambao ni watu wanaoheshimika sana ulimwenguni. Iweje motivation iwe ni hela tuu kwa haya maisha.

Ni kwamba tumeuziwa fake reality kwamba dhumuni ya kuwepo hapa duniani ni kuwa matajiri, hii ndio inasukuma watu kufanya hata yasiyofaa ili tuu kupata pesa kuwa kama diamond. We're not driven into finding our purpose in this world
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…