Naamini kuna watu wameweza ku-unlock secret codes za maisha na wanaishi kawaida na sisi kama watu wa kawaida

Naamini kuna watu wameweza ku-unlock secret codes za maisha na wanaishi kawaida na sisi kama watu wa kawaida

si kwamba hao waliofanikiwa kuna codes wamefungua ni vile tu wameweza kugusa vitu vinavyoweza kuwapatia matokeo makubwa!.
wanajua namna yakugusa,wanajua kuteleza kupoje,wanajua kuinuka pia kupoje..
kuna baadhi ya vitu kama siasa na dini kuna pengo kubwa sana la watu kutupiga maana hizo vitu mbili ni michezo ya kisaikolojia tu!.
udhaifu utakaouonyesha ndio tutakupigia hukohuko

wanajua mnashahuku za imani,na fikra zenu zinakiu za kutaka kuufahamu ukweli ama kuwafikisha kule mnakofikiria mnataka kufika..
so hiyo inatosha kuwafunga minyororo nakufanya mumfate aliewafunga!.

uhalisia wa mwanadamu upo ktk kutafiti,ila wengi hawatafiti maana tafiti inahitaji kufikiri na wengi ni wavivu kufikiri so waliojanjaluka wanatumia hiyo gap!..
ni sayansi ya kweli tu ndio haidanganyi na ukiona sayansi imedanganya jua wewe ndio umekosea kuitafsiri yani bado hujapata jibu!..
Naaam [emoji109]
 
Hata ha
ARISTOTLE, ISAAC NEWTON, FARADAY, VOLTAIRE, ALBERT EINSTEIN, ALEXANDER BELL, ENZO FERRARI, GALILEO, MAX PLANCK, ALESANDRO VOLTA to name a few
Hata hawa kazi zao zilihodhiwa na wenye maamuzi.Hata akina Elon Musk kuna watu wako nyuma yake wanatengeneza mazingira ya yeye kufanya vizuri, siku akiwazingua hao atapolomoka
 
Hata ha

Hata hawa kazi zao zilihodhiwa na wenye maamuzi.Hata akina Elon Musk kuna watu wako nyuma yake wanatengeneza mazingira ya yeye kufanya vizuri, siku akiwazingua hao atapolomoka
Hao watu anawalipa au wanamlipa..?
 
Tukiwaangalia waliofanikiwa jinsi wanavyoishi kana kwamba kuna codes flani wamecrak tuwaangalie na maskini wenyewe wanaishi vipi mpka hawatoboi.

Problem ni kwamba we all want to be elon musk, rockerfeller, bill gates. Mbona hamna wanaotaka kuwa kama akina Plato, Einstein, Carl max ambao ni watu wanaoheshimika sana ulimwenguni. Iweje motivation iwe ni hela tuu kwa haya maisha.

Ni kwamba tumeuziwa fake reality kwamba dhumuni ya kuwepo hapa duniani ni kuwa matajiri, hii ndio inasukuma watu kufanya hata yasiyofaa ili tuu kupata pesa kuwa kama diamond. We're not driven into finding our purpose in this world
 
Back
Top Bottom