Naamini mshauri na mdhamini wa G55 ni yule yule aliyeigharimu CHADEMA kwa kulamba asali kwenye kipindi cha Uchaguzi

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
12,283
Reaction score
23,443
Ni yule yule aliyelamba asali ya lowassa 2015 na kumpitisha kuwa mgombea kwa kubadili gia angani.

Ni yule yule aliyekuwa nyuma ya Covid19 akiwafundisha mbinu za kuwaingiza bungeni viti maalum kwa barua za siri huku akiwakana mbele za kamera 2020-21

Ni yule yule aliyesema hatogombea uenyekiti 2025 lakini ghafla akasema ameombwa na wanachadema waliomsaplise nyumbani kwake kumtaka agombee!

Ni yule yule wakati wa uchaguzi aliyewalambisha asali ya pesa, magari machawa wake wote wanaounda G55 ndani ya chadema!

Huyo ndiye mpaka sasa pesa za asali bado zinapitia kwake anawadhamini, na kuwashauri watumie kila mbinu kuizoofisha chadema!

Watanzania mnaweza kuona sasa wanasiasa wachumia tumbo walivyokuwa wamevaa kiremba cha chadema kupiga pesa!

G55 bado wananyonyeshwa na Mwamba kama mfanyabiashara wa siasa!

Kama mnabisha nendeni mkamuulize mwamba msimamo wake kama mstaafu juu ya NO REFORM, NO ELECTION mtaona majibu yake kama ya G55
 
JITAHIDI KUTOANDIKA NONSENSES.......HEADING TU, A SENSIBLE MAN WILL DISCARD READING THE CONTENTS OF THE BODY!
 
Sensible man ndo watu sampuli ya kina MREMA na WENJE? a.k.a Ryatonga mrema principle?
 
Kifupi CHADEMA imefikia mwisho. Na huenda kikaazishwa chama kingine.
 
Back
Top Bottom